Mabeyo kazawadiwa hii ndinga. Tafakari!

Mabeyo kazawadiwa hii ndinga. Tafakari!

Nkurunzinza alitaka kuondoka na kama haya 70 ila covid ikafanya yake...
Nawashangaa waafrika, mukiambizwa kutoka ugaibuni munayaamini kama Mungu. Hata ya JPM muliambiwa hivyo hivyo! COVID ipi unapata Jumapili then die Monday!🤔🥺. Jumamosi Nkurunzisa was playing football!Hata machinga wa Kirundi waliofurika Nairobi wanajua kilochomuua Nkurunzisa, ISIPOKUWA BONGO LALA ZA KUAMBIWA 🤔
 
Na kazi ameifanya, kila mmoja atakula alichokiweka akiba, haiwezekani umelima mahindi kwenye eneo la ukubwa wa nchi kumi halafu unataka ule ugali miezi sita yote, never ever!...ila hii nchi tajiri sana, sema bongo ni za mende.
 
Ni kawaida hiyo Jeshini kwa wakubwa kupewa magari, isitoshe kwa Cheo chake na aliyopitia hilo gari siyo big deal, ila akaunti yake Benki ndo mambo yote!
Mabeyo anapesa,kuna siku nilikua nasali dodoma,nikasikia wanasema! Tumepokea mchango wa Tshs 15,000,000 kutoka kwa mkuu wa majeshi,yeye pamoja na marafiki zake! Pia tumepokea 5M kutoka kwa AG Prof Kilangi!
 
yeye kupewa gari kama hiyo sio shida kwani kalitumikia taifa vizuri tusiwe watu wa kufikiri negative way tu maana hata ingekua ww ndio unapewa gari kama hiyo kwenye kustaafu ungekataa au tujitafakari nn sasa. alikua mkuu wa majeshi sio mkuu wa familia mtoa mada acha u fakeni wa akili
 
Alilivusha taifa kwenye kipindi cha hatihati, sintofahamu na hekaheka nyingi baada ya kifo cha rais - tukio ambalo halikuwa na precedent.

Angekuwa na tamaa ya kuingia kwenye Historia angekinukisha akatumia kisingizio cho chote hata kusema kuwa anachukua madaraka kwa muda mpaka upelelezi wa kina kuhusu kifo cha JPM utakapofanyika.

Lakini alisimama kidete na kuhakikisha kuwa katiba inafuatwa mama akaingia madarakani kwa amani. Kwa hili anastahili pongezi sana 👏👏👏👏
 
Mabeyo anapesa,kuna siku nilikua nasali dodoma,nikasikia wanasema! Tumepokea mchango wa Tshs 15,000,000 kutoka kwa mkuu wa majeshi,yeye pamoja na marafiki zake! Pia tumepokea 5M kutoka kwa AG Prof Kilangi!

Hiyo inaweza hata kuwa Jeshi ndio lilitoa, hakuna watu wanaopeta maisha kama Wanajeshi Tanzania hasa wale wakubwa, kila kitu bure, juzi kati nilimuona Mwamunyange utafikiri bado ni mkuu wa Jeshi full ulinzi, magari kila kitu!
 
Jirani yangu huyo ana nyumba yake huku segerea sheli na jina la barabara kapewa akiwa anaigia na kutoka utaskia ving'ora tu mtaa mzima

Usiku unapishana na wajeda tu wamebeba mitutu wanapiga doria huku usalama wa kutosha karibu mkuu uvizie lifti

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila pamejibana ndo maana walimpeleka Kawe Beach



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom