Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Lissu amewahi kumueweka Lowasa katika Listi ya mafisadi iliyosomwa MwembeYanga halafu baadae akawa miongoni mwa cheerleaders waliompigia kampeni ili awe rais.

Sidhani kama Lissu ana moral authority ya kutosha kupiga vita ufisadi kama yuko tayari kumpokea, na kumpigia kampeni fisadi ili awe rais wa nchi!
 
kudeal na hisia za watu kazi sana kuhusu jambo Fulani ni changamoto mno, wengine wanahisi vitu vingine kabisa dah. hata hivyo ni kupoteza muda kwa kitu ambacho hakipo πŸ’

heshima kwa faragha za mawazo na matendo ya watu ni jambo muhimu sana πŸ’
 
Mambo mengine ni ya kuachana nayo tu. Kabisa ulitegemea serikali iliongelee hilo?
 
Baadae huyo huyo Tundu Lisu akaenda na Kardinali kuweka mauwa Kaburini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chadema ina Wajinga wengi
Hahaha usiseme chadema malizia chama mfu chadema kichaoongozwa na binaadamu wasiokuwa na akili. Maana mbowe alilamba bil kazaa za lowasa akaja na inaonekana bil kazaa za CCM aunge juhudi
 
Acha propaganda mbaya wewe. Kwa hiyo unataka kusema ni kweli magufuli alificha mabilioni chato? Chato imekua benki? Mjinga sana wewe.
 
Nchi ukiwa kiongozi ni rahisi kupata misukure yako ya kuaminisha kila kitu nayo ikaamini!
 
Wajinga ndo watakuelewa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…