mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Rushwa ndani ya Chadema imemshinda kutatua sembuse mambo yasiyomuhusu tena ya uongo anayatengeneza tu. Lissu ni wa kuogopwa kama ukoma maana ni muongo muongo sana. Halafu hao wezi wa Halmashauri Arusha ndo wamekutuma uje huku kuwatetea? Kawatetee Mahakamani siyo huku.Tunakumbusha sio kwa ubaya.
Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana
Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..
Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.
Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki