Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya!

Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya!

Hadi yanakutwa baada ya yeye kufariki ndugu, watoto, mke wake au jamaa zake wa karibu hawajui thamani ya pesa??
 
Tunakumbusha sio kwa ubaya.

Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana

Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..

Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.

Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki
Wewe ulimuamini huyo Lisu poyoyo msema hovyo?
Hayo mabilioni aliambiwa na mama Janeti au?
 
Ni wapumbavu ndio wanaoweza kuamini kuwa Magufuli alikua anaficha pesa kwa manufa yake au ya familia yake.

Wanaoficha pesa au kuiba fedha za umma wanajilimbikizia mali.

Tanzania labda aje makonda au Lisu ndio tunaweza kupata Rais Mzalendo kama JPM.

Rais yeyote duniani anakua na fungu kunwa la fedha muda wote na anasafri nazo muda wote.
Fungu la Rais hua halijadiliwi bungeni matumizi yake.

Ukiwa na Rais asiyemzalendo atalitumia kusafiri na kula Bata nje ya nchi kwa kadiri anavyotaka na haulizwi na mtu yeyote .

Hata maraisi wa nchi zilizoendelea wanasafiri na madola mengi na kulala kwenye mahoteli makubwa. Wengine wanasafiri mpaka na michepuko Yao na kula Bata bila kuhojiwa na mtu yeyote.

Gadaf alikua anagawa Dola kwenye safari zake lakini hakua fisadi bali alikua anatumia fungu la Rais kujenga uzalendo na misingi ya nchi za Afrika kuungana na kusaidiana .

Lakini Magufuli pesa zote za safari za nje ya nchi na vikao visivyo na tija alizitumia kujenga miundo mbinu kwa haraka mana fungu la Rais ni pesa Taslimu muda wote.

Tuasome mioyo ya watanzania .Kumchafua magufuli ni kujishushia heshima na kupunguza kura kwa mgombea yeyote kwa sasa.

Hata ukisikiliza mikutano ya Lisu . Akianza kumponda JPM uwanja mzima unashikwa na Butwaa. Hakuna mtu anayeshangilia .
Lakini pia watanzania wanaopiga kura sio wajinga wanajua alichofanya magufuli na kinachofanyika sasa .

Back
Top Bottom