Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya!

Tunakumbusha sio kwa ubaya.

Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana

Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..

Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.

Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki
Toa upuuzi wako CHAWA wewe
 
Wao wenywewe ni Wezi Sasa unatarajia wafichuane?
 
Tunakumbusha sio kwa ubaya.

Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana

Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..

Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.

Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki
Alafu kuna watu utasikia eti shujaa wa Afrika,ushujaa gani huo wa kukwapua mali za taifa?
 
Lissu amewahi kumueweka Lowasa katika Listi ya mafisadi iliyosomwa MwembeYanga halafu baadae akawa miongoni mwa cheerleaders waliompigia kampeni ili awe rais.

Sidhani kama Lissu ana moral authority ya kutosha kupiga vita ufisadi kama yuko tayari kumpokea, na kumpigia kampeni fisadi ili awe rais wa nchi!
Napia usisahau au kujifanya kusahau kuwa.

Ccm wote ukiwepo na wewe mlishiriki kumtukana lowasa mara baada ya kujiunga na cdm.

Lkn mwenyekiti wenu akamribuni na kumrudisha ndani ya ccm.

Mlivyokosa akili mkashangilia sana kama mazuzu tu.
 
Tunakumbusha sio kwa ubaya.

Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana

Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..

Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.

Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki
Lissu alipekua lini makao ya JPM na kwa kibali gani?
 
Back
Top Bottom