DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Toa upuuzi wako CHAWA weweTunakumbusha sio kwa ubaya.
Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana
Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..
Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.
Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki
Wao wenywewe ni Wezi Sasa unatarajia wafichuane?Tunakumbusha sio kwa ubaya.
Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana
Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..
Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.
Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki
Alafu kuna watu utasikia eti shujaa wa Afrika,ushujaa gani huo wa kukwapua mali za taifa?Tunakumbusha sio kwa ubaya.
Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana
Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..
Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.
Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki
Daaa kule maskuli siku hizi wanajenga migorofaYamepelekwa huko Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kimya kimya.
Mjinga na wazazi wako wewe chawa.Baadae huyo huyo Tundu Lisu akaenda na Kardinali kuweka mauwa Kaburini [emoji23][emoji23][emoji23]
Chadema ina Wajinga wengi
Kadinali ni CHADEMA.Baadae huyo huyo Tundu Lisu akaenda na Kardinali kuweka mauwa Kaburini πππ
Chadema ina Wajinga wengi
Napia usisahau au kujifanya kusahau kuwa.Lissu amewahi kumueweka Lowasa katika Listi ya mafisadi iliyosomwa MwembeYanga halafu baadae akawa miongoni mwa cheerleaders waliompigia kampeni ili awe rais.
Sidhani kama Lissu ana moral authority ya kutosha kupiga vita ufisadi kama yuko tayari kumpokea, na kumpigia kampeni fisadi ili awe rais wa nchi!
Kuna mtu aliiba simu smartphone pale mjengoni kipindi cha rasmu ya katibaHakuna msafi kwenye nchi masikini
Watu waliiba mpaka laptop bungeni
Kwa mawazo ya kawaida siyo ufisadi huo?Mambo mengine ni ya kuachana nayo tu. Kabisa ulitegemea serikali iliongelee hilo?
Wewe kichwani mwako kumejazwa maji ya matangoLissu kichwani hamupo sawa
Huyo hanaga ajuwaloNaona umeamua kudeal na whistle-blower badala ya wizi
Wachana na huyo chumia tumbo wa lumumbaKwani ukatoliki hausisitizi kuzika na kuombea wafu katika huruma za mwili?
Atakosaje kuchanganya wakati yeye mwenyewe amechanganyikiwa?ufisadi na ubinadamu ni vitu viwili tofauti usichanganye mambo
Umeonaeeeeee [emoji23][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28]CCM ina wapumbavu wengi sana.
Alijisahau...Baadae huyo huyo Tundu Lisu akaenda na Kardinali kuweka mauwa Kaburini πππ
Chadema ina Wajinga wengi
Lissu alipekua lini makao ya JPM na kwa kibali gani?Tunakumbusha sio kwa ubaya.
Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana
Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko Halmashauri..
Vita ya ufisadi haitakiwi kuwa na macho.
Pia soma Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki
Na hiyo pia π yaani majizi yote bila aibuKuna mtu aliiba simu smartphone pale mjengoni kipindi cha rasmu ya katiba
Huyu Mbwiga sijui amekula maharage ya wapi !.Naona umeamua kudeal na whistle-blower badala ya wizi