Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya!

Rushwa ndani ya Chadema imemshinda kutatua sembuse mambo yasiyomuhusu tena ya uongo anayatengeneza tu. Lissu ni wa kuogopwa kama ukoma maana ni muongo muongo sana. Halafu hao wezi wa Halmashauri Arusha ndo wamekutuma uje huku kuwatetea? Kawatetee Mahakamani siyo huku.
 
Ukiwa huna akili timami ni rahisi sana kuamini kuwa mabilioni ya fedha Tena shilingi za kitanzania ( madafu) yanaweza kuhifadhiwa nyumbani kwa mtu kirahisi.
Yaleyale ya chadema kuwaaminisha watu kuwa rizione alikamatwa na dawa za kulevya china
 
Acha upuuzi.
 
Hakuna msafi kwenye nchi masikini
Watu waliiba mpaka laptop bungeni
Laptop bungeni? Bunge la wapi mkuu? Isije ikawa tukio kama hilo lilitukia Tanganyika, unless otherwise alliyefaya hivyo alilenga kuiba nyaraka na si laptop kama laptop!
 
Covid 19
 
Kwa hiyo na wewe uliamini hizi story za Lissu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Katika jambo ambalo serikali haiwezi kujifunga kitanzi ni hilo la lundo la fedha alizoficha Magufuli nyumbani kwake Chato!
 
Teh teh teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ futa neno Lissu alafu andika Chadema.

econonist JokaKuu Tindo
 
Umetuangusha chadema digital chawa wa Mbowe!
Ukiniita Chawa wa Mbowe ni sawa na matusi, hakuna Chawa Tajiri, nimefundisha sana humu kuhusu hilo, usiwe mjinga, mimi natoa hela taslimu kusaidia Chadema, ni kama Sabodo wa leo.

Hata huyu Mbowe hatukukutana naye Zakhiem mbagala, tulikutana kwenye vikao vya Diaspora London ndio akatushawishi tuunge mkono Chadema, baadaye tukajumuika naye Washington

Mimi siyo kapuku, Muulize Mwakyembe
 
Hakika umenena kwa uchungu sana sabodo wa leo mnunulie makamu mwenyekiti gari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…