DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Hata mm sijawekwa hapo sasa hii list inakera sanaMartin Chegere mbona simuoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm sijawekwa hapo sasa hii list inakera sanaMartin Chegere mbona simuoni?
Ndio maana nimejitafuta hapo Bueno Shilinde, Masanja Ngwandu nimelitafuta sana, vabeja sana!walikuwa wanachagua wanafuzi watano tuu na baathi ya shule
Hongera sanaMimi nilishinda mwaka 1979 na mpaka sasa bado ni cheti lakini jina langu silioni kwenye list hiyo; ngao niliyopewa ilibaki ofisnini kwa Headmaster.
Asante; naona wananisahau. Wanadhani nimeshatangulia mbele ya haki sistahili kutambulika. Nikipata muda wa kuvuta cheti changu kutoka kwenye makabrasha nitakiweka hapa.Hongera sana
Yaan hamna hata aliewahi kushika mwenyekiti serkl za mitaa dc rcMwaka juzi (2016), Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA / MAT) kilitimiza miaka 50 na kuchapisha muhtasari ya mafanikio yao kipindi hicho. Kwenye hilo chapisho (MAT Bulletin 2016) kuna orodha ya wanafunzi waliopata kushinda tuzo za mashindano ya CHAHITA. Kwenye hiyo orodha yumo pia mfanyabiashara maarufu ndugu Ali Mufuruki ambaye alishika nafasi ya tatu mwaka 1978 akiwa Moshi Secondary School.
View attachment 671421
View attachment 671423
View attachment 671686
Peruzi zaidi kupitia link ifuatayo kuanzia ukurasa wa 18:
www.maths.udsm.ac.tz/mat/wp-content/uploads/2016/10/MAT-BULLETIN-2016.pdf
CHANGAMOTO: Je, ni kwanini hatujawahi kupata muwakilishi katika mashindano ya hisabati ya duniani (yaani, International Mathematical Olympiad, IMO)?
cc: Deadbody