Mabingwa wa Hisabati Tanzania 1966-2015

Mabingwa wa Hisabati Tanzania 1966-2015

Moshi Secondary "Ongoza vyema angaza" real proud of you.
 
walikuwa wanachagua wanafuzi watano tuu na baathi ya shule
 
Mimi nilishinda mwaka 1979 na mpaka sasa bado ni cheti lakini jina langu silioni kwenye list hiyo; ngao niliyopewa ilibaki ofisnini kwa Headmaster.
 
Mwaka juzi (2016), Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA / MAT) kilitimiza miaka 50 na kuchapisha muhtasari ya mafanikio yao kipindi hicho. Kwenye hilo chapisho (MAT Bulletin 2016) kuna orodha ya wanafunzi waliopata kushinda tuzo za mashindano ya CHAHITA. Kwenye hiyo orodha yumo pia mfanyabiashara maarufu ndugu Ali Mufuruki ambaye alishika nafasi ya tatu mwaka 1978 akiwa Moshi Secondary School.

View attachment 671421

View attachment 671423

View attachment 671686
Peruzi zaidi kupitia link ifuatayo kuanzia ukurasa wa 18:

www.maths.udsm.ac.tz/mat/wp-content/uploads/2016/10/MAT-BULLETIN-2016.pdf

CHANGAMOTO: Je, ni kwanini hatujawahi kupata muwakilishi katika mashindano ya hisabati ya duniani (yaani, International Mathematical Olympiad, IMO)?

cc: Deadbody
Yaan hamna hata aliewahi kushika mwenyekiti serkl za mitaa dc rc

Hope watakuwa kwenye tassisi za dini

Shule haina hurums
 
Back
Top Bottom