Mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo

Mkubwa ustaarabu ni Jambo zuri Sanaa, ila Kuna Watu Hawa lijui Hilo kabisa.

Wao wanacho waza ni kutafuta attention kupitia mtu, dogo nili mwambia punguza kuni mention Sana ndugu.

Sasa naona ikawa tatizo, kutwa ana zungumza mambo mengi kuni husu akati hatuja wahi hata kukutana.

Na Kuna sisi huwa tuna mstari fulani, uki uvuka Don't blame me maana sita Rudi kufikiri Kama binadamu, ila Nita kupa majibu kwa style uipendayo.
 
Usichukulie hii mitandao serious
Sisi tunatukanwa tunakaa kimya unaweza kuanzisha uzi akatokea mtu akatukana matusi na kukuita shoga na matusi mabaya na hakujui wala nini?
Tuliza temper wewe ni kati ya watu nawaheshimu na ninakusomaga nondo zako mkuu

So calm down

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kani shangaza sana, yaani mpaka ana anzisha I'd mpya ili kuja kuni taja tu aisee kweli kichwa chake hakiko sawa.

Pamoja mkuu, I mean no malice to nobody
 
Hamjawahi kuwasoma Gudume na Seneta wa mtwiz hawa watu ni waongo kuliko uongo, kwanza kila siku wenyewe ni choka mbaya halafu wanakutana(ga) na zali la kupendwa na watoto wa kali wakiwa na mikokoteni yao ya maji.
 
Hamjawahi kuwasoma Gudume na Seneta wa mtwiz hawa watu ni waongo kuliko uongo, kwanza kila siku wenyewe ni choka mbaya halafu wanakutana(ga) na zali la kupendwa na watoto wa kali wakiwa na mikokoteni yao ya maji.
πŸ˜‚ Ndio yanayomkuta
 
Umejuaje wanatunga nyui za uongo?
Unataka tukutajie ili uwafanye nini?
Mbona wewe haujamtaja hata mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…