Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkubwa ustaarabu ni Jambo zuri Sanaa, ila Kuna Watu Hawa lijui Hilo kabisa.Acheni kutukaniana mama zenu jamani. Our mothers are innocent na wengine walishatangulia mbele ya haki. Kwa nini tu msitukanane nyinyi kwa nyinyi bila kuingiza wazazi wenu?
Probably you are very angry lakini hasira zikija kukuisha si ajabu ukajishangaa kwa mambo uliyofanya wakati ukiwa na hasira. Try to calm down a bit even though no one in the history of calming down has ever calmed down after being told to calm down 😁
Wao wanacho waza ni kutafuta attention kupitia mtu, dogo nili mwambia punguza kuni mention Sana ndugu.
Sasa naona ikawa tatizo, kutwa ana zungumza mambo mengi kuni husu akati hatuja wahi hata kukutana.
Na Kuna sisi huwa tuna mstari fulani, uki uvuka Don't blame me maana sita Rudi kufikiri Kama binadamu, ila Nita kupa majibu kwa style uipendayo.

