Hata malezi mabaya pia yanaweza kuchangia.Kuna mabinti naturally wanajitambua sana, pia na malezi mazuri yanachangia!
Nataman ning pata mchumba kama hao maana wanaonekana wa kaz.sio kama hawa wanaosema uwaungie vocha ya jeroKweli Kabisa, vibinti vidogo jamani sijui wapo mwaka wa kwanza au wa pili sikuuliza Hilo ila wanajituma sana
Huu sasa ukorofi.. kuunga kwako mkono ni kama kuongeza kuni motoni ili uwe mkali zaidiMimi nimeunga tu mkono hoja , mengine sijui.
NakaziaHata malezi mabaya pia yanaweza kuchangia.
Wewe ***** hua ni mpumbavu sana,vicomment vyako vimetawaliwa na ujinga ujinga mwingi sana,hivi unawezaje kuishi na watu huko? Inaonekana huna thamani kabisa kwa waliokuzunguka huko,Hujui hata kama wana wazazi,
Hujui hata kama wazazi wao wamewapa malezi bora.
Kwa nini bwashee? Kwa sababu hata uzi sijausomaHuu sasa ukorofi.. kuunga kwako mkono ni kama kuongeza kuni motoni ili uwe mkali zaidi
Unasapoti tu usichokisoma mkuu? Je kama katoa maoni watu waanze kuliwa jaginaKwa nini bwashee? Kwa sababu hata uzi sijausoma
Una akili fupiKuuza migahawa sio kujitambua, bado elimu haijawasaidia na haitatusaidia kamwe sisi ngozi nyeusi
Hayo sio malezi ni Personality ya mtu.Kuna watu hata uwaleee vipi hawawi kama unavyo tarajiaHayo ni matokeo ya malezi bora waliyoyapata toka kwa wazazi wao,
Parenting,
Nawaombea wafike mbali zaidi kimaisha.
Waliwe tu bwashee, kama inafaa kuliwa hiyo jaginaUnasapoti tu usichokisoma mkuu? Je kama katoa maoni watu waanze kuliwa jagina
Sijui kama atakuelewa,Hayo sio malezi ni Personality ya mtu.Kuna watu hata uwaleee vipi hawawi kama unavyo tarajia
Hata kama hana wowo?Nataman ning pata mchumba kama hao maana wanaonekana wa kaz.sio kama hawa wanaosema uwaungie vocha ya jero
Ni bora serikali ingefundisha wanafunzi kuwa mama ntilie na baba ntilie kama wasomi kuwa hivyo ni kujitambuaHuu sasa ukorofi.. kuunga kwako mkono ni kama kuongeza kuni motoni ili uwe mkali zaidi