Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Kuna mabinti naturally wanajitambua sana, pia na malezi mazuri yanachangia!
Dina MarioUngemuuliza kwanza yeye anafanya Nini ijapo hatosema ukweli
Naye Anajitambua Sana
Kuna mabinti naturally wanajitambua sana, pia na malezi mazuri yanachangia!
Dina MarioUngemuuliza kwanza yeye anafanya Nini ijapo hatosema ukweli
Huyu ni mama mtu mzima kwanini asijitambue?Dina Mario
Naye Anajitambua Sana
Kweli wapewe maua Yao🥀🥀🥀🥀🌷🌷🌷🌷🌹🌹🌹🌹!Habari waungwana, Leo nilienda saloon moja ambapo sio mbali sana na kilipo chuo kikubwa Cha serikali.
Wakati nikiwa hapo nahudumiwa Kuna kabinti akawa ameleta huduma ya mtori na chai Kwa hao wadada wa salon.
Basi baada ya yule muhudumu kuondoka ndo hao mabinti wa saluni wakawa wanasema kuwa huyu ikifika mchana anaenda chuo halafu anaingia yule mwenzanke basi bwana baada ya kusikia maongezi yao hivo nikawauliza Kwani huyu Binti ni mwanafunzi wakanijibu ndio ni mwanachuo wa hicho chuo Cha serikali hapo, wapo wawili wanapokezana kufanya kazi hapo muda ambao hawana masomo darasani wanapiga kazi hapo kwenye hicho kimgahawa hapo nje wameaajiriwa hapo kuosha vyombo, kuhudumia wateja kupika chapati chai, Baada ya kazi wanarudi zao hostel Maana wanaishi ndani ya hostel za chuo.
Pia aina ya.mgahawa ni kadogo sana tena kalichozungushiwa maturubai na viti hata havifiki hata 8 lakini mabinti wa watu wameamua kujitoa kumtafuta riziki zao
Hakika nilistaajabu Maana kwanza ni vibinti vidogo vizuri sana wanajituma vizuri na Kwa heshima sana pia hawajapenda kujikweza kama ilivo Kwa mabinti wengine ambao wanapenda Maisha ya shortcut huku wanasoma
Mpm,akuambie chuo hicho na saloon!Nataman ning pata mchumba kama hao maana wanaonekana wa kaz.sio kama hawa wanaosema uwaungie vocha ya jero
Kuuza migahawa sio kujitambua, bado elimu haijawasaidia na haitatusaidia kamwe sisi ngozi nyeusi
Mmesoma mada? Nyie ndio mnajitambua?Naunga mkono hoja
Ww ndo unajitambua?Mmesoma mada? Nyie ndio mnajitambua?
🖕Mmesoma mada? Nyie ndio mnajitambua?
Kwa hiyo Ulaya yote hakuna Wazungu wanaoosha vyombo?Yan mzungu aoshe viombo labda useme wajinga wenzio ngoz ya tako, uko nje ulipoenda ww wapi kwanza ?
Toka kwa shemej
Hao nimeshawapenda tayari...Habari waungwana, Leo nilienda saloon moja ambapo sio mbali sana na kilipo chuo kikubwa Cha serikali.
Wakati nikiwa hapo nahudumiwa Kuna kabinti akawa ameleta huduma ya mtori na chai Kwa hao wadada wa salon.
Basi baada ya yule muhudumu kuondoka ndo hao mabinti wa saluni wakawa wanasema kuwa huyu ikifika mchana anaenda chuo halafu anaingia yule mwenzanke basi bwana baada ya kusikia maongezi yao hivo nikawauliza Kwani huyu Binti ni mwanafunzi wakanijibu ndio ni mwanachuo wa hicho chuo Cha serikali hapo, wapo wawili wanapokezana kufanya kazi hapo muda ambao hawana masomo darasani wanapiga kazi hapo kwenye hicho kimgahawa hapo nje wameaajiriwa hapo kuosha vyombo, kuhudumia wateja kupika chapati chai, Baada ya kazi wanarudi zao hostel Maana wanaishi ndani ya hostel za chuo.
Pia aina ya.mgahawa ni kadogo sana tena kalichozungushiwa maturubai na viti hata havifiki hata 8 lakini mabinti wa watu wameamua kujitoa kumtafuta riziki zao
Hakika nilistaajabu Maana kwanza ni vibinti vidogo vizuri sana wanajituma vizuri na Kwa heshima sana pia hawajapenda kujikweza kama ilivo Kwa mabinti wengine ambao wanapenda Maisha ya shortcut huku wanasoma
Nina duka la vipodozi since nikiwa mwaka wa pili, na ni miaka hiyo sio miaka hii…. Siku feli.mkuu, ukienda chuo kazi ni moja tu,kusoma. Masuala ya migahawa na kazi zingine wafanye ambao sio wanachuo. Muda wa kusoma anaupata wapi? Si ndio hawahawa huwa wanafaulishwa na wakufunzi kwa kutoa rushwa ya ngono? Au kama wanaona mgahawa ni bora sana kuliko chuo basi si waache chuo waendeleze mgahawa wao? Hatuwezi kuwa tunasifia kitu ambacho hakina afya kwa maendeleo ya mwanachuo yeye binafsi.
circle ⭕️Everyone wants to touch a woman,and everyone wants an untouched woman.
Wewe ni mlemavu wa akiliWewe taahira kuuza mgahawa sio kujitambua kwa msomi kwa kigezo hatak au hatumii kikojoleo kupata pesa.
Kwanza umalaya hauna uhusiano wowote na pesa, kujitambua, elimu au akil hili ni jambo la hisia.
Tunaona watu wengi wenye pesa ni malaya wakutupwa
Kamsome Sigmund Freud utapata mbili 3, sema kutokana nyinyi ngoz ya tako kwenye mtu akiwa na hisia za kimapenz zilizopitiliza au kuamua kuutumia mwili wako apendavyo mnamwita malaya mnaona mnapatia sana
Kuuza kwao mgahawa ni dalili tosha kwamba elimu haijawasaidia, labda kama wapo kujifunza practically
Toka kwa shemej
Kuna watu waliacha pombe na kujiapiza kutogusa pombe kutokana na ulevi wa wazazi wao ulivyoharibu maisha ya familia zao.Kivipi mkuu?