Mabinti Hawa majasiri wamenikosha sana, Mungu awabariki sana

Mabinti Hawa majasiri wamenikosha sana, Mungu awabariki sana

Hao mabinti wanajitambua nimewapenda. Hakuna raha km mwanamke kutafuta pesa yako halali bila kutweza utu wako.

Mambo ya chuo tunayafahamu, show off nyingi na kutaka kwenda na wakati lazima utumike..!!
Haswaaa, Maisha ya Chuo ni show off na blah blah zisizo na maana.
Lol
 
Hayo ni matokeo ya malezi bora waliyoyapata toka kwa wazazi wao,
Parenting,

Nawaombea wafike mbali zaidi kimaisha.
Na vile mtoa mada alivyo sema ni wazuri bila shaka watakuwa na bikra, ningemchukua mmoja hapo nikahakikisha namlala niufaidi usichana wake, watakuwa hawajatumika sana hao
 
Hayo ni matokeo ya malezi bora waliyoyapata toka kwa wazazi wao,
Parenting,

Nawaombea wafike mbali zaidi kimaisha.
Na vile mtoa mada alivyo sema ni wazuri bila shaka watakuwa na bikra, ningemchukua mmoja hapo nikahakikisha namlala niufaidi usichana wake, watakuwa hawajatumika sana hao
 
Hao mabinti wanajitambua nimewapenda. Hakuna raha km mwanamke kutafuta pesa yako halali bila kutweza utu wako.

Mambo ya chuo tunayafahamu, show off nyingi na kutaka kwenda na wakati lazima utumike..!!
Kuna member huko juu katangulia kusema kuwa kuuza mgahawa sio kujitambua na mimi nimemuunga mkono hoja yake, elimu hiyo haiwasaidii chochote zaidi ya kupoteza muda na kujazwa ujinga
 
Kuna wadada wanajielewa wakiamua kufunika vikojoleo vyao.
Kuna binti mmoja alikuwa anapenda kuja kukaa kinyozi kwangu akiangalia ka tv. Enzi hizo nikipambana na nywele za watu. Huyo binti siku nkaamua kuwa ngoja nimsaidie coz alikuwa anaishi kwa mjombake na wanatoka wote kurudi ni usiku so akawa anaboeka home inabidi ajenge urafiki na mimi anahama na cd kuja kuangalia kinyozi kwangu na kweli alifanya hadi nikapata wateja wengi tu, si mnajua tabia za wanaume wakiona sketi for sure ilifika mpaka wateja wakawa wananyoa twice a week kisa waje kumuona mrembo.
Sasa bwana huyo demu akawa anatongozwa lakin anawatolea nje hapo nikamsoma kuwa anajiheshm. Basi ndugu zangu nikamfundisha kunyoa na yeye akawa mwepesi wa kuelewa style za kawaida na vipara na sio siri wateja walimpenda na kufurahia huduma yake tulichapa kazi mwaka 2009 had 2012 kila mtu akapata chake ile sehem ilikuwa mgodin watu wakahamishwa tukasepa demu kwenda kwao kafungua kinyoz na alifanya kazi kwel hadi akaolewa ila she died akijifungua. Rip Eva
 
Kuna member huko juu katangulia kusema kuwa kuuza mgahawa sio kujitambua na mimi nimemuunga mkono hoja yake, elimu hiyo haiwasaidii chochote zaidi ya kupoteza muda na kujazwa ujinga
Wapeni kazi kwenye makampuni yenu basi..
Wewe hivi hata uzi umeusoma na kuuelewa kweli? Au ndo braza K?
 
Comments sasa
Watu wengine bana hata ulete jambo zuri watajaribu waweke Strawman fallacy kuharibu maana mradi waingize negativity ndani yake. Karibu bongo
Issue ni kuwa bongo land imejaa mizoga yenye trauma, haiba roho kabisa. No sense of love for others. Wazungu they have emotional safety sana.
 
Sijui kama atakuelewa,
Ukute hata wamekuwa wachapakazi na kujituma ili kujitofautisha na mama yao anayejiuza au asiyewajali.

Kuna watu waliacha na kuchukia pombe kabisa baada ya kuona madhara ya pombe kwa wazazi wao.
Hapo umenoa point yangu na umegusa maisha ya wengi . Hata Mimi nina mzazi mbishi na mgomvi kwa watu lakini Mimi mtoto wake ninaishi vizuri na watu. Hajawahi kunifundisha tabia hii.

Ahsante kwa point Yako
 
Ilitakiwa wafanye nini ili ionekane kua elimu yao imewasaidia?

Kumbuka hao bado wanasoma.
Sjajua cha kukujibu lkn fananisha na nchi zinazojambua wanafunzi wao hata wa level ya high school au sawasaw na hiyo hufafanya shughuli gani katka kipindi hicho

Kuna uzi jana humu uliletwa technician wa china anatengeneza simu lkn mwenye master's bongo anakua mchuuzi hata parts tu hazjui
 
Una akili fupi
Wewe taahira kuuza mgahawa sio kujitambua kwa msomi kwa kigezo hatak au hatumii kikojoleo kupata pesa.

Kwanza umalaya hauna uhusiano wowote na pesa, kujitambua, elimu au akil hili ni jambo la hisia.

Tunaona watu wengi wenye pesa ni malaya wakutupwa

Kamsome Sigmund Freud utapata mbili 3, sema kutokana nyinyi ngoz ya tako kwenye mtu akiwa na hisia za kimapenz zilizopitiliza au kuamua kuutumia mwili wako apendavyo mnamwita malaya mnaona mnapatia sana

Kuuza kwao mgahawa ni dalili tosha kwamba elimu haijawasaidia, labda kama wapo kujifunza practically

Toka kwa shemej
 
Back
Top Bottom