Mabinti Hawa majasiri wamenikosha sana, Mungu awabariki sana

Kweli wapewe maua Yao🥀🥀🥀🥀🌷🌷🌷🌷🌹🌹🌹🌹!
 
Hao nimeshawapenda tayari...
natamani ningewajua, pengine wakimaliza chuo niwachukue tusaidiane ujasiriamali wakisoma gap....
 
Nina duka la vipodozi since nikiwa mwaka wa pili, na ni miaka hiyo sio miaka hii…. Siku feli.

Nani anapima afya ya haya mambo?
 
Wewe ni mlemavu wa akili
 
Kivipi mkuu?
Kuna watu waliacha pombe na kujiapiza kutogusa pombe kutokana na ulevi wa wazazi wao ulivyoharibu maisha ya familia zao.

Kuna watu wanajituma na kuwa wachapakazi kwa kiwango cha juu kutokana na uvivu wa wazazi wao, mama zao kuwa watu waliokuwa wanajiuza, kutelekeza, kukataliwa na mzazi n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…