Ulipo wewe ndo hawajiamini na kujitambua!!
Nwy kwa kuuliza mabinti wanahitaji nini hutopata jibu unalotaka maana mabinti hawafanani!Nnachohitaji mimi sio sawa na anachohitaji partner wangu AD au mwenzi wako....ndo maana unaona watu wengine wanakimbilia kua na mtu kwasababu ana pesa huku mwingine anakimbia...mwingine yuko na sharobaro wakati mwingine hata kusikia hataki.Hili swali huwezi kujibiwa collectively hata siku moja kwahiyo hata matokeo ya hako kautafiti kako usigeneralize!Ni sawa na unachotaka wewe kwa mwanamke ambae unadhani atafaa kua mke sii sawa na anachotaka jirani yako!
I'm not suprise Liz amekusapoti coz both of u are in the same sex,second ni patna wako kama alivyosema,but nataka kumweleza kuwa huo ndio ukweli,ni tatizo la ulimwengu mzima,sijui unafaham kichekesho cha Beyonce na Damon Dash,halafu Posh Spice na huyo huyo jamaa,huyu jamaa aliwabanjua wote hawa na wapo kwenye ndoa hebu fikiria?Kisha ujiulize kituko cha Tamia na Fabollous wakati wanapiga picha za video wa wimbo so into u remix,baada ya mama huyo kumlazimisha kijana kumbanjua,kisha jiulize kuhusu Posh tena na Fillipo Inzaghi kumbuka alikuwa kwenye ndoa,wanawake bwana
Asante...
Ah, kama ni hivyo basi hivi viumbe ni vya ajabu sana. Lakini pia vinatofauitina maana kila kimoja kina na vionjo vyake. Aidha, vingine ni kama kunguru havifugiki.
Lizzy acha hasira mama,ninachotaka kutoka kwenu ni hoja nzito,nimekupa mfano simaanishi hao wanawawakilisha ninyi wote ila mifano mingi sana,nitafurahi sana kama ni kweli utakuwa unajua unacho kitaka,shemeji atakua na nafuu,lakini nadhani utakuwa ni wewe tu,lakini pia ni kazi nzito kuthibitisha,naomba unipe mfano wa binti anaejitambua kama mimi nilivyotoa wa wasiojitambua nipe mfano wa wa5 angalau naweza kuanza kuamini kwa uchache!
Safety last umenichekesha sana,ni kweli binadam wote ni matatizo lakini wenzetu hawa ni balaa,kati ya wanawake 700 wa Seleman hakuna hata mmoja aliyekuwa bora kama angekuwepo hiyo idadi isingefika!
kaka eiyerSafety huenda Sulemani angebaki na mmoja angekufa kabla ya wakati!