Mabinti huwa mnahitaji nini?

Yes safety,siku moja Mungu atawajibia tu!
 
Umesahau kundi jingine wapo ambao hawapati dozi vizuri na waume zao hawana pesa na wanawanyanyasa lakini wameng'ang'ania tu hawatoki. Hiyo ni definition ya utu wala sio mabinti, kwa binadamu zipo option zooote duniani inategemea umechagua ipi.
 
Wanawake nyie ni pasua kichwa thats why Mungu ametuambia tuishi na ninyi kwa akili,huwa hamjui mnahitaji nini,mnaweza kupewa vyote lakini mkahisi something is mising!

Wanawake huwa hawajui wanachoitaji bali huwa wanaiga!
 
What woman want is not what want but they want u to do what they want without telling u what they want.so They want a leader ( Potential man )if you want a woman to want u be that Leader they want ,one of leader character Safety is at Last not At first!
 
Mess sijui jinsia yako,kama ni mwanaume jaribu kufanya utafiti au,mpe dozi ulie nae halafu akikukimbia usitafute sababu,maji hayasahau baridi hata uyachemshe vipi!
 
Duh! ni noma, kwakweli watuambie ni nini wanachokihitaji ili wadumu mpaka kifo kiwatenganishe na wale ambao wameshafunga nao pingu za maisha,plz
 
Duh! ni noma, kwakweli watuambie ni nini wanachokihitaji ili wadumu mpaka kifo kiwatenganishe na wale ambao wameshafunga nao pingu za maisha,plz

Utakesha!Watakuambia nini wakati hawajui?
 
Sidhani kama kweli unajua walipewa dozi za kweli....hapo nakwambia acha UMBEA kwa usichokijua....
 
Sidhani kama kweli unajua walipewa dozi za kweli....hapo nakwambia acha UMBEA kwa usichokijua....

Usifikiri nimekurupuka ndugu yangu,kuna siku utakumbuka kama unfikiri dozi ni dawa!
 
Sidhani kama kweli unajua walipewa dozi za kweli....hapo nakwambia acha UMBEA kwa usichokijua....

Utadhani alikuwepo....au yeye ndo aliyepewa maana mhusika pekee ndo anaweza kujua kama karidhika au la!
 
Utadhani alikuwepo....au yeye ndo aliyepewa maana mhusika pekee ndo anaweza kujua kama karidhika au la!

Sio suala la kuwepo au la,ni uhalisia bibie!
 
Wanifurahisha lizzy ukweli unajulikana ndo maana ya wanaume kuhusiwa waishi nanyi kwa akili,na hilo wabisha??
 
Wanifurahisha lizzy ukweli unajulikana ndo maana ya wanaume kuhusiwa waishi nanyi kwa akili,na hilo wabisha??
Sibishi chochote ila nakupa picha ya upande ambao hujabahatika kuuona!!
 
Wengine huwa ni kuhangaika kwao tu,wengine huwa ni tamaa,wengine ni mapepo na maroho ya kutangatanga,ila wote wanahitaji maombi.MUNGU anaweza yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…