Mabinti huwa mnahitaji nini?

Mabinti huwa mnahitaji nini?

Yes safety,siku moja Mungu atawajibia tu!
 
Umesahau kundi jingine wapo ambao hawapati dozi vizuri na waume zao hawana pesa na wanawanyanyasa lakini wameng'ang'ania tu hawatoki. Hiyo ni definition ya utu wala sio mabinti, kwa binadamu zipo option zooote duniani inategemea umechagua ipi.
 
Wanawake nyie ni pasua kichwa thats why Mungu ametuambia tuishi na ninyi kwa akili,huwa hamjui mnahitaji nini,mnaweza kupewa vyote lakini mkahisi something is mising!

1233903355_wemasafi8.jpg

images

1227767699_kanumbawemaweb.jpg

diamond.jpg
 
What woman want is not what want but they want u to do what they want without telling u what they want.so They want a leader ( Potential man )if you want a woman to want u be that Leader they want ,one of leader character Safety is at Last not At first!
 
Mess sijui jinsia yako,kama ni mwanaume jaribu kufanya utafiti au,mpe dozi ulie nae halafu akikukimbia usitafute sababu,maji hayasahau baridi hata uyachemshe vipi!
 
Duh! ni noma, kwakweli watuambie ni nini wanachokihitaji ili wadumu mpaka kifo kiwatenganishe na wale ambao wameshafunga nao pingu za maisha,plz
 
Duh! ni noma, kwakweli watuambie ni nini wanachokihitaji ili wadumu mpaka kifo kiwatenganishe na wale ambao wameshafunga nao pingu za maisha,plz

Utakesha!Watakuambia nini wakati hawajui?
 
Kwa umri nilionao nimekutana pia nimeona vituko vya kutosha,wako mabinti walikuwa na watu wenye hela wakaachika wengine waliolewa na maskini wakaachika,lakini wapo waliokuwa kwenye ndoa waume zao waliwajali,waliwapenda na zaidi walipewa dozi vya kutosha lakini waliachika,kumbuka wote hawa hawakuachwa na waume zao bali wao ndo waliwaacha,Justine Timbelake aliwahi kusema mabint hawajui wanachohitaji kwa mwanaume,je ni kweli??

Sidhani kama kweli unajua walipewa dozi za kweli....hapo nakwambia acha UMBEA kwa usichokijua....
 
Sidhani kama kweli unajua walipewa dozi za kweli....hapo nakwambia acha UMBEA kwa usichokijua....

Usifikiri nimekurupuka ndugu yangu,kuna siku utakumbuka kama unfikiri dozi ni dawa!
 
Sidhani kama kweli unajua walipewa dozi za kweli....hapo nakwambia acha UMBEA kwa usichokijua....

Utadhani alikuwepo....au yeye ndo aliyepewa maana mhusika pekee ndo anaweza kujua kama karidhika au la!
 
Utadhani alikuwepo....au yeye ndo aliyepewa maana mhusika pekee ndo anaweza kujua kama karidhika au la!

Sio suala la kuwepo au la,ni uhalisia bibie!
 
Wanifurahisha lizzy ukweli unajulikana ndo maana ya wanaume kuhusiwa waishi nanyi kwa akili,na hilo wabisha??
 
Wengine huwa ni kuhangaika kwao tu,wengine huwa ni tamaa,wengine ni mapepo na maroho ya kutangatanga,ila wote wanahitaji maombi.MUNGU anaweza yote.
 
Back
Top Bottom