Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Basi tu nlikua naona marue rue!!
Unashindana na Saint Ivuga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tu nlikua naona marue rue!!
Unashindana na Saint Ivuga?
Kwa taarifa yako King'asti ukimcare sana ndo atakudharau wala kwenye apointment ndo hatokei,ukwa rud ndo afadhali kidogo,sio siri siwaelewi mabint na sio mimi tu,nimetoa mfano mmoja hapo wa Justine Timbarlake na wapo wengi tu na kuna watafiti wamesema mabint hawajui wanachohitaji kutoka kwa wanaume wengine wamesema hawahitaji kitu,hii inachanganya,kuwa mkweli utusaidie mama!!
mmh nadhani wote hatujui tunachokipenda, guys niliowapenda saaaaaaana, na kuwajali niliishia kuvunjwa moyo tu, ila ambao sikuwapenda hata kidogo wananing'an'ania mpaka kesho mwisho wa siku nimeamua kujipenda mwenyewe tu sisumbuliwi na kitu
Wanawake nyie ni pasua kichwa thats why Mungu ametuambia tuishi na ninyi kwa akili,huwa hamjui mnahitaji nini,mnaweza kupewa vyote lakini mkahisi something is mising!