Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Hawa watoto ndiyo wanafanya kila siku tuulizwe "utazaa lini? Hauoni unazeeka"[emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .
Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
Leo umewaita jina zuri "viumbe wenye uume"??Viumbe wenye uume ndio wanawadanganya.
Umenikumbusha, ikabidi nikaedit[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo umewaita jina zuri "viumbe wenye uume"??
Au kwa sababu Leo ni jumapili?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa watoto ndiyo wanafanya kila siku tuulizwe "utazaa lini? Hauoni unazeeka"[emoji23][emoji23][emoji23]
Mafurushi yenye uume ndio yanawadanganya.
Leo umewaita jina zuri "viumbe wenye uume"??
Au kwa sababu Leo ni jumapili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Umenikumbusha, ikabidi nikaedit[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa watoto ndiyo wanafanya kila siku tuulizwe "utazaa lini? Hauoni unazeeka"[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaahahah!Hahaa eti ulikimbia shule mkuu.
By the way comment yako popote pale napoiona, huwa iko safi!
Kukojoa nje sio rahisi unavyodhan alaf wengi wanapewa mimba na watoto wenzao wanakua bado hawajayajua maisha mwsho wa siku mzigo ni kwa wazaziKuwatesa bibi zao pia maana unamwangalia mama anavyoteseka na mtoto mpk wajukuu unamuonea huruma na kosa sio kwao tu hata nyinyi mnaowatunuku hizo mimba jmn simkojoe nje kama hamuwezi tumia condom kwa style hii Ukimwi hautatuacha salama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Haki nimepasuka na kichekoo.
Marahaba.Wewe cute b shikamoo umenichosha aisee eti mnauluzwa mtazaa lini mbavu zangu jamni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vinajifanya vijuaji sana,havishauriki , ukivishauri unatafuata balaa, yakiwakuta uso unaporomoka kama wa muhogo mchungu...
MmmmVitu vinaharibiwa na mitandao ..mfano kinondoni kibinti cha miaka 19 unachosemea hapo nyonyo zimeshalala balaa
Hapo kana kutanulia kuuliza utaweza mziki huu..na mtandao pedwa vishatoa
Wakati mwingine hata Baba zao hawaeleweki maana mimba moja Baba 6 kwahiyo hapo ni keusi na kekunduHali si nzuri mtaani binti below 25 anawatoto 3 na kila mtoto anababa yake ingawa mlezi ni mama yake na wamejaariwa majibu aisee unaeza juta kuhoji
Pia wazazi wanahusika sana kwenye malezi hawapo makini na malezi mtu anakuja shituka tayari mtoto huko chini kupo kama kindoo tunajisahsu sanaKuwatesa bibi zao pia maana unamwangalia mama anavyoteseka na mtoto mpk wajukuu unamuonea huruma na kosa sio kwao tu hata nyinyi mnaowatunuku hizo mimba jmn simkojoe nje kama hamuwezi tumia condom kwa style hii Ukimwi hautatuacha salama