Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .

Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
Hawa watoto ndiyo wanafanya kila siku tuulizwe "utazaa lini? Hauoni unazeeka"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mafurushi yenye uume ndio yanawadanganya.
Leo umewaita jina zuri "viumbe wenye uume"??
Au kwa sababu Leo ni jumapili?
Umenikumbusha, ikabidi nikaedit[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Haki nimepasuka na kichekoo.
 
Hahaa eti ulikimbia shule mkuu.

By the way comment yako popote pale napoiona, huwa iko safi!
Hahaahahah!

Thanks for the compliment 😊😊😊

But mkuu hata zile ninazoamua tu kuchangamsha jukwaa?? Sometimes inanibidi kujitoa akili kidogo je hizo pia zinakuwa safi??
 
Kuwatesa bibi zao pia maana unamwangalia mama anavyoteseka na mtoto mpk wajukuu unamuonea huruma na kosa sio kwao tu hata nyinyi mnaowatunuku hizo mimba jmn simkojoe nje kama hamuwezi tumia condom kwa style hii Ukimwi hautatuacha salama
Kukojoa nje sio rahisi unavyodhan alaf wengi wanapewa mimba na watoto wenzao wanakua bado hawajayajua maisha mwsho wa siku mzigo ni kwa wazazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Haki nimepasuka na kichekoo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante kwa kunikmbusha.
 
Kuwatesa bibi zao pia maana unamwangalia mama anavyoteseka na mtoto mpk wajukuu unamuonea huruma na kosa sio kwao tu hata nyinyi mnaowatunuku hizo mimba jmn simkojoe nje kama hamuwezi tumia condom kwa style hii Ukimwi hautatuacha salama
Pia wazazi wanahusika sana kwenye malezi hawapo makini na malezi mtu anakuja shituka tayari mtoto huko chini kupo kama kindoo tunajisahsu sana
 
Back
Top Bottom