Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Unakuta binti wa age hyo anahitaj kumiliki smart phone,Na smart hyo ili aipate lazima avue chupi,Na matokeo ya kuvua chupi ni mimba,Na kwa age hyo huwa hawajui kujiprotect, Naomba wazidi kuzalishwa tu mana hakuna namna.