[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwenye ndoa inakuwa ndoano, tatizo hao hao kina.somo ni mashosti wa wazazi wao na huko Baba zao wanakipata chamoto kama ni mimi sitaki somo wala nini bora nikapokee mafundisho ya kanisan basiWanajiita somo. Nimeshangaa juzi juzi.. mtu anajiita somo wkt yeye ni kaachika. Nikasema hii ndoa sijui kama itadumu. Maana alimfunda mke jinsi ya kukaa na mume ni single mother.. yaan na yeye kaachika.
Haa haa nitakupa jibu ([emoji23][emoji23][emoji23])miaka 18 , 19 , 20
Mshahara 300k kama utafanya kazi vizuri 400k itategemea na suggestion ya mwanangu swalehe
Jamani jamani ni shida sanaHa ha ha kweli kabisa ndomana hata mabaharia wanaruka nao wakiona washapevuka kwa midomo yao
Asante sana mkuu kwa mentioning
According to UN WOMEN EMPOWERMENT PRINCIPLE NO.4 which sates that;Binti akivunja ungo ni bora aozeshwe kama tayari kashajua utamu wa dudu.
HongeraaaaaYeeeees
Kabisaaa.Asante sana mkuu kwa mentioning
According to UN WOMEN EMPOWERMENT PRINCIPLE NO.4 which sates that;
βPromote education,training and professional development for women. Marriage before the age of 18 is fundamental human right violation that disproportionately affects young children by denying them freedom of going after their dreams
Kwa hiyo ukifanya hichi kitu unachokisema hapa mkono na wana harakati wakikufikia umekwisha.
Labda kama unafanya kwenye mazingira ya kijijini huko ambako haki za wanawake na watoto zinavunjwa kila leo na hakuna hatua zozote zinachochukuliwa.
Kuvunja ungo tu peke yake haitoshi kuwa sababu ya mtoto(binti) kuwa huru na kujiamulia maamuzi yake mwenyewe.
Binti anaweza kuwa kavunja ungo/kujua radha ya dudu na bado ana akili za kitoto sana. Kiasi cha kujitaji uangalizi
Mimi sikuzote ninashikilia pale pale tu huu mfumo wa maisha tulioukubali ndio chanzo ya haya yote.
Unaweza hiyo kazi ?Haa haa nitakupa jibu ([emoji23][emoji23][emoji23])
Nimekaa na binti wa miaka 22 anasema huu mwaka hauwezi kuisha kabla hajabeba mimba and I was like wtf!? Kisa eti anaona umri unaenda bora azae kwanza
Mimi dada yake kikongwe hata kuzaa haipo kwenye ramani nimeshangaa mtoto wa 22 anasema kachelewa [emoji28]
Kabisaaa.
Haya ya human right ndio matatizo haswa haya
Kuna Saloon moja hivi wasaidizi wake mwenyewe huyo kuna binti kamaliza mwaka jana form four, mtoto anabeba njema mie na uhenga wangu siwezi mie nilichoka, mwenzie ana mtoto lakini kutwa kubadilisha mabwana halafu analalamika wanaume wabaya mmmm
KhaaSio kwamba na wewe uliwahi kuwa na mawazo kama yake wakati upo kwenye age yake, sema sasa hivi sababu jua limezama na mabaharia wanahitaji fresh cargo wewe wanakupa chogo tu, ndio maana unasema huna mpango hata wa kuzaa!!π€©π€©
Unataka kuzifanyajeMwanamke miaka 25 nakuendelea mwenye chuchu saa sita anicheki PM hii ni opportunity.
Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .
Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
πWazazi tubadili mbinu za kuwalea hawa watoto...tunatumia mbinu walizotumia baba zetu kipindi hakuna IG na FB.
mabaharia wa mtaan kwenu sio watu wazuri ha ha ha ha ha haHuku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .
Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
Nimekumbuka hiyo thread yako hao watoto wanakua vichocheo sometimesKuna thread nimeandika jinsi katoto ka <20yrs kanavyonisumbua, %99 ya wanaume humu waliniona zoba kwanini sikagegedi! Leo utashangaa kuona vitoto mtaani vina vitoto?!!
ππΌππΌππΌππΌππΌ "THEY CALL US OLD SKOOL, AND IT'S TRUE WE ARE OLD SKOOL COZ WE WERE BORN AND RAISED WELL WITH GOOD MANNERS AINT WITH SOCIAL MEDIA SYNDROME,Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Sio kwamba na wewe uliwahi kuwa na mawazo kama yake wakati upo kwenye age yake, sema sasa hivi sababu jua limezama na mabaharia wanahitaji fresh cargo wewe wanakupa chogo tu, ndio maana unasema huna mpango hata wa kuzaa!!π€©π€©