Asante sana mkuu kwa mentioning
According to UN WOMEN EMPOWERMENT PRINCIPLE NO.4 which sates that;
“Promote education,training and professional development for women. Marriage before the age of 18 is fundamental human right violation that disproportionately affects young children by denying them freedom of going after their dreams
Kwa hiyo ukifanya hichi kitu unachokisema hapa mkono na wana harakati wakikufikia umekwisha.
Labda kama unafanya kwenye mazingira ya kijijini huko ambako haki za wanawake na watoto zinavunjwa kila leo na hakuna hatua zozote zinachochukuliwa.
Kuvunja ungo tu peke yake haitoshi kuwa sababu ya mtoto(binti) kuwa huru na kujiamulia maamuzi yake mwenyewe.
Binti anaweza kuwa kavunja ungo/kujua radha ya dudu na bado ana akili za kitoto sana. Kiasi cha kujitaji uangalizi
Mimi sikuzote ninashikilia pale pale tu huu mfumo wa maisha tulioukubali ndio chanzo ya haya yote.