Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Wanapatikana wapi jamani? mbona mimi siwaoni.
Natafuta binti mzuri aliyezalishwa na kutelekezwa ila anayejitambua, ambaye ana uhakika hana mawasiliano na baba mtoto na hatarajii hilo litokee. Ikiwezekana ambaye hajui hata baba mtoto yuko wapi. awe mkomavu wa maisha kwa ujumla. Niko tayari kumfungulia biashara.
Kiongozi hukai uswahili,ukiwa uswahilini wala huwezi kuuliza wako wapi,ni wengi mno
 
Bint wa miaka 22 kachakaa kama mtu wa miaka 40
IMG-20190820-WA0001.jpeg
 
Tatizo kubwa ni Serikali ambayo haitaki kutunga sheria ili kuwabana hao mabaradhuli wanaotia mimba hovyo hovyo kisha kuingia mitini.

Kungekuwa na sheria kali basi hili tatizo la SINGO MAZA ambalo sasa linashamiri kwa kasi ya kutisha lingepungua sana.
Miaka 30 siyo sheria kali?
 
Yani mkuu ni shida mi ninae mmoja ,kuna siku nikamuita sehemu aje anywe hata soda ,akaniuliza wewe unakunywa nn nikamwambia bia,wee alinitukana balaa sitaki mwanaume mlevi sijui nini,nikamwambia hela natafuta Kwa nguvu zangu basi achana na Mimi,akaa kimya,kesho ananitumia msg baby Nina njaa hostel hakuna kitu nisamehe mpenzi wangu,nikamwambia fala wewe utakufa njaa unajifanya mjuaji kumbe unanuka njaa ,njoo nikufanyie shopping ya msoc ukale hostel huko
Kwa hiyo mitusi yote hiyo kisa bia.Hahahaaaaaaa
 
Nimekaa na binti wa miaka 22 anasema huu mwaka hauwezi kuisha kabla hajabeba mimba and I was like wtf!? Kisa eti anaona umri unaenda bora azae kwanza
Mimi dada yake kikongwe hata kuzaa haipo kwenye ramani nimeshangaa mtoto wa 22 anasema kachelewa [emoji28]
Anataka waje wavae sare na katoto kake wapige picha ili apost instagramu.
 
Kama ndiyo hivyo ni kupokea matokeo tu hamna namna.Mzazi au Mlezi ndo mjenga msingi,wanaofuata baada yake ni wainua kuta na finishing tu.Msingi ukiwa legelege hiyo nyumba itasimamaje?.
Majumbani watoto wanashinda na mahousegirl wazazi wako busy kusaka ela ndomana nikasema shuleni watoto wafundishwe
 
Wanaume tuna onewa sana.
Tatizo kubwa ni Serikali ambayo haitaki kutunga sheria ili kuwabana hao mabaradhuli wanaotia mimba hovyo hovyo kisha kuingia mitini.

Kungekuwa na sheria kali basi hili tatizo la SINGO MAZA ambalo sasa linashamiri kwa kasi ya kutisha lingepungua sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika.

Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.


Miaka kumi ijayo watakuwa na watoto wakiwa na miaka 10 wa wakiwa na 25-29...hamna la zaidi
 
Back
Top Bottom