mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
mkuu kwani tofauti ya mtoto binti msichana na mwanamke ni ipi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwani tofauti ya mtoto binti msichana na mwanamke ni ipi!?
Tofauti ya muktadha gani? Kijamii, kisheria, kiitifaki, kimsamiati au kisarufi?mkuu kwani tofauti ya mtoto binti msichana na mwanamke ni ipi!?
Ndio vizur mana ulichopewa na mungu kumnyima mwenzio dhambi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]eti story kishujaa
SafiAisee ni Mungu tu! Mi nililelewa na single mother baadaya mshua wng kufariki nikiwa ndogo ila mama yangu alinilea kwa technique saana! Nakumbuka ilikua nikifanya vizuri class ananipa zawadi km motivation nakumbuka nilianza kumiliki simu enzi hizo nokia x2-01 ni km ss hv mtu uwe na samsung s9 hv au iphone7 plus...ila hii ni baada ya kupata wastan mkubwa form2 nikapewa km zawadi...ujana haukuniacha salama nikiwa form3 miaka16 kijana mmoja alikata uzi[emoji1][emoji1] ila sikuwahi jutia sababu hakua mkubwa sana wakati nipo form3 yy alikua form5 so ilikua ni ujana tu ila nilikua nasoma kwa bidii ili form4 nipate kikubwa zaidi ukiachana na konakona nyingine na mama mara nyingi alikua akinipeleka kanisani na kunionya kua nisiposoma kwa bidii na kufaulu nitamuaibisha aisee huwez amini pamoja na yote ila sikuwah kujisahau upande wa shule au kufanya mambo yangu wazi ili tu nisimuaibishe mama! Form4 nayo nikapita nikanunuliwa samsung s4 kpnd hicho ndio ipo kwa trend tulienda na mwendo huo mpk now nishamaliza degree lakini mpk leo najishtukiaga sitaki watu wajue mambo yangu ili mama yangu asiaibike[emoji28] so naona wazazi pia wapate muda wa kuongea na watoto itawajengea kitu fulani kifikra...right now my mom is a proud mom bila kujua nina mashida yangu tu nyuma ya pazia...Mungu akisaidia naomba tu nisibebee mimba home ht kimakosa...km muoaji aje atoe mahari anichukue kihalali tukajuane mbele huko!
VIP umeshafanikiwa kumrudisha mpenzi wako?Aisee ni Mungu tu! Mi nililelewa na single mother baadaya mshua wng kufariki nikiwa ndogo ila mama yangu alinilea kwa technique saana! Nakumbuka ilikua nikifanya vizuri class ananipa zawadi km motivation nakumbuka nilianza kumiliki simu enzi hizo nokia x2-01 ni km ss hv mtu uwe na samsung s9 hv au iphone7 plus...ila hii ni baada ya kupata wastan mkubwa form2 nikapewa km zawadi...ujana haukuniacha salama nikiwa form3 miaka16 kijana mmoja alikata uzi[emoji1][emoji1] ila sikuwahi jutia sababu hakua mkubwa sana wakati nipo form3 yy alikua form5 so ilikua ni ujana tu ila nilikua nasoma kwa bidii ili form4 nipate kikubwa zaidi ukiachana na konakona nyingine na mama mara nyingi alikua akinipeleka kanisani na kunionya kua nisiposoma kwa bidii na kufaulu nitamuaibisha aisee huwez amini pamoja na yote ila sikuwah kujisahau upande wa shule au kufanya mambo yangu wazi ili tu nisimuaibishe mama! Form4 nayo nikapita nikanunuliwa samsung s4 kpnd hicho ndio ipo kwa trend tulienda na mwendo huo mpk now nishamaliza degree lakini mpk leo najishtukiaga sitaki watu wajue mambo yangu ili mama yangu asiaibike[emoji28] so naona wazazi pia wapate muda wa kuongea na watoto itawajengea kitu fulani kifikra...right now my mom is a proud mom bila kujua nina mashida yangu tu nyuma ya pazia...Mungu akisaidia naomba tu nisibebee mimba home ht kimakosa...km muoaji aje atoe mahari anichukue kihalali tukajuane mbele huko!
Ngoja na mm nijaribu bahati yangu aiseeBado ile njia nilitaka kutumia niliona ni ya kipuuz nilipaniki tu kwa sababu ya upendo...if he us mine then he will come back and if he isn't then God will send the best for me[emoji4]
Mabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika.
Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.