Nandinii
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 2,573
- 2,819
Mimi hkn kitu ambacho nakiogopa km kuzalia nymbn, yani ni kuiahibisha familia yako kabisa. Mana uku kwetu kuna vitoto ni vidg ata shule vimeacha kwa ajili ya kubebeshwa mimba na baba wa wtt hawawalei, wanabaki kuleta mzigo kwa familia yao tu. Alafu wakikuona ww ambae umri umeenda hauna ata mpenzi, na wao wana wtt ata shikamoo hawakupi sbb ashaitwa mama tena.
Mie mtaani kwetu kwa kweli naonekana ni mtu ambaye nimetulia kabisa na siwez kuwa na mahusiano na mtu wa mtaa wangu ata siku moja. Heshima napenda iwe mbele sehemu nilipo na kuonekn ni mwnye nidhamu. Nashkr Mungu pia mpk nimemaliza elimu yng ya juu nilidate na mtu mmoja tu, na mchezo wnyw niliuanza apo apo elimu ya juu ahahah na tukaja achana pia. Kwa hiyo huwa nafrh kwa kweli kujaaliwa kutulia kias iki na bd nalipa ata km umr nao unasonga.
Kwa hiyo hawa mabinti wa siku hz ni kuwaombea tu tunapoenda makanisani na ata nymbn. Kizazi cha ss ivi wanakurupukia sn haya mambo na usiwalaumu wazazi kuwa hawasemi mana hkn mzazi ambaye anpnd kumuona mtt wake akiharibikiwa na yeye anamtazama, wanakanywa sana lkn hawa mabint wntk kushupaza shingo ni matomaso mpk washuhudie wnyew kwmb kwnn walikatazwa hili jambo na wakubwa wao.
Kwanza ata heshima zao huwa ni mbovu, mana binti akishaanza kutongozwa na yeye akaitwa babe bs heshima inapungua nymbn ,anaweza ata akapigana na baba yake kwa ajili ya mwanaume. Tuwaombee tu hawa mabint waweze kubadilika bs. Nashkr familia yng inajivunia nami.