roxna
Member
- Jul 24, 2012
- 66
- 64
kibongobongo ustawi bado sanaaaKwa nini hawaendi ustawi wa jamii kuwashitaki waliowatwisha hiyo mizigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibongobongo ustawi bado sanaaaKwa nini hawaendi ustawi wa jamii kuwashitaki waliowatwisha hiyo mizigo
Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .
Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
Aisee ni Mungu tu! Mi nililelewa na single mother baadaya mshua wng kufariki nikiwa ndogo ila mama yangu alinilea kwa technique saana! Nakumbuka ilikua nikifanya vizuri class ananipa zawadi km motivation nakumbuka nilianza kumiliki simu enzi hizo nokia x2-01 ni km ss hv mtu uwe na samsung s9 hv au iphone7 plus...ila hii ni baada ya kupata wastan mkubwa form2 nikapewa km zawadi...ujana haukuniacha salama nikiwa form3 miaka16 kijana mmoja alikata uzi[emoji1][emoji1] ila sikuwahi jutia sababu hakua mkubwa sana wakati nipo form3 yy alikua form5 so ilikua ni ujana tu ila nilikua nasoma kwa bidii ili form4 nipate kikubwa zaidi ukiachana na konakona nyingine na mama mara nyingi alikua akinipeleka kanisani na kunionya kua nisiposoma kwa bidii na kufaulu nitamuaibisha aisee huwez amini pamoja na yote ila sikuwah kujisahau upande wa shule au kufanya mambo yangu wazi ili tu nisimuaibishe mama! Form4 nayo nikapita nikanunuliwa samsung s4 kpnd hicho ndio ipo kwa trend tulienda na mwendo huo mpk now nishamaliza degree lakini mpk leo najishtukiaga sitaki watu wajue mambo yangu ili mama yangu asiaibike[emoji28] so naona wazazi pia wapate muda wa kuongea na watoto itawajengea kitu fulani kifikra...right now my mom is a proud mom bila kujua nina mashida yangu tu nyuma ya pazia...Mungu akisaidia naomba tu nisibebee mimba home ht kimakosa...km muoaji aje atoe mahari anichukue kihalali tukajuane mbele huko!

It seems wewe kwa muonekano ni mpole na mtaratibu. Mungu na akusaidie umpate mume mwema ili mama yako azidi kufurahi.
Lakini pia katika yote, hakikisha unampendeza Mungu kwanza, mwanadamu awe wa pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yako lazima ajiproud bhana umeruka milima na mabonde sasa hivi itabidi akule Range Rover au harrier tako la nyani mana sio powa sema uzi ndio ulishakatwa sema ongera sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa kimbisa si nikuoe tu umalizie story yako kishujaaAisee ni Mungu tu! Mi nililelewa na single mother baadaya mshua wng kufariki nikiwa ndogo ila mama yangu alinilea kwa technique saana! Nakumbuka ilikua nikifanya vizuri class ananipa zawadi km motivation nakumbuka nilianza kumiliki simu enzi hizo nokia x2-01 ni km ss hv mtu uwe na samsung s9 hv au iphone7 plus...ila hii ni baada ya kupata wastan mkubwa form2 nikapewa km zawadi...ujana haukuniacha salama nikiwa form3 miaka16 kijana mmoja alikata uzi[emoji1][emoji1] ila sikuwahi jutia sababu hakua mkubwa sana wakati nipo form3 yy alikua form5 so ilikua ni ujana tu ila nilikua nasoma kwa bidii ili form4 nipate kikubwa zaidi ukiachana na konakona nyingine na mama mara nyingi alikua akinipeleka kanisani na kunionya kua nisiposoma kwa bidii na kufaulu nitamuaibisha aisee huwez amini pamoja na yote ila sikuwah kujisahau upande wa shule au kufanya mambo yangu wazi ili tu nisimuaibishe mama! Form4 nayo nikapita nikanunuliwa samsung s4 kpnd hicho ndio ipo kwa trend tulienda na mwendo huo mpk now nishamaliza degree lakini mpk leo najishtukiaga sitaki watu wajue mambo yangu ili mama yangu asiaibike[emoji28] so naona wazazi pia wapate muda wa kuongea na watoto itawajengea kitu fulani kifikra...right now my mom is a proud mom bila kujua nina mashida yangu tu nyuma ya pazia...Mungu akisaidia naomba tu nisibebee mimba home ht kimakosa...km muoaji aje atoe mahari anichukue kihalali tukajuane mbele huko!
Eeh baharia aliukata bwana[emoji28]...Ameen Mungu asaidie mama yng aje kula vinono
sasa mkuu yy kasema atasomesha watoto sio mama, haahaaa. yaan ufadhili wa nyumba za wanafunzi na waalimu mnautaka!?Magufuli kasema zaeni atasomesha.
Halafu wakizaa hata wao kinamama watoto hataki kuwasomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hawa wamama wa miaka 15-19 mbona wao nao ni watoto?sasa mkuu yy kasema atasomesha watoto sio mama, haahaaa. yaan ufadhili wa nyumba za wanafunzi na waalimu mnautaka!?
Hao wanaitwa single mothers waje inbox tuwasaidieMabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika.
Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.