Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Kiongozi hukai uswahili,ukiwa uswahilini wala huwezi kuuliza wako wapi,ni wengi mnoWanapatikana wapi jamani? mbona mimi siwaoni.
Natafuta binti mzuri aliyezalishwa na kutelekezwa ila anayejitambua, ambaye ana uhakika hana mawasiliano na baba mtoto na hatarajii hilo litokee. Ikiwezekana ambaye hajui hata baba mtoto yuko wapi. awe mkomavu wa maisha kwa ujumla. Niko tayari kumfungulia biashara.