Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mimi hkn kitu ambacho nakiogopa km kuzalia nymbn, yani ni kuiahibisha familia yako kabisa. Mana uku kwetu kuna vitoto ni vidg ata shule vimeacha kwa ajili ya kubebeshwa mimba na baba wa wtt hawawalei, wanabaki kuleta mzigo kwa familia yao tu. Alafu wakikuona ww ambae umri umeenda hauna ata mpenzi, na wao wana wtt ata shikamoo hawakupi sbb ashaitwa mama tena.

Mie mtaani kwetu kwa kweli naonekana ni mtu ambaye nimetulia kabisa na siwez kuwa na mahusiano na mtu wa mtaa wangu ata siku moja. Heshima napenda iwe mbele sehemu nilipo na kuonekn ni mwnye nidhamu. Nashkr Mungu pia mpk nimemaliza elimu yng ya juu nilidate na mtu mmoja tu, na mchezo wnyw niliuanza apo apo elimu ya juu ahahah na tukaja achana pia. Kwa hiyo huwa nafrh kwa kweli kujaaliwa kutulia kias iki na bd nalipa ata km umr nao unasonga.

Kwa hiyo hawa mabinti wa siku hz ni kuwaombea tu tunapoenda makanisani na ata nymbn. Kizazi cha ss ivi wanakurupukia sn haya mambo na usiwalaumu wazazi kuwa hawasemi mana hkn mzazi ambaye anpnd kumuona mtt wake akiharibikiwa na yeye anamtazama, wanakanywa sana lkn hawa mabint wntk kushupaza shingo ni matomaso mpk washuhudie wnyew kwmb kwnn walikatazwa hili jambo na wakubwa wao.

Kwanza ata heshima zao huwa ni mbovu, mana binti akishaanza kutongozwa na yeye akaitwa babe bs heshima inapungua nymbn ,anaweza ata akapigana na baba yake kwa ajili ya mwanaume. Tuwaombee tu hawa mabint waweze kubadilika bs. Nashkr familia yng inajivunia nami.
 
Kwa hiyo umemaliza Form Four 2014

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako katika vulnerability age na ukizingatia familia zimeyumba sasa kutokana na umasikini watoto wanakuwa bila role models ni survival tu mtaani kila mtu anafanya lake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi nazani hizi Ni athari za advancement in technology

Tofauti na zamani ,saizi ngono imewekwa wazi wazi,,unakuta mtoto wa darasa la pili anajua each and every thing kuhusu ngono, Sasa mtoto /binti Kama huyo unategemea atakaa muda gani bila kufanya ngono, na Kila siku anaona na kusikia ngono ikisifiwa kupitia media mbali mbali. Karibu Kila nyimbo za bongo zinatukuza ngono,alafu unatakaa mtoto awe safe,,,Ni ngumu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Hakuna kitu kama hicho ni kutokujitambua binti anayejitambua hawezi kukubali kuharibiwa future yk
Nahisi kutokana na vyakula labda homoni za kupenda zimeongezeka kwa mabinti,
 
Mabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika.

Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…