Kuna mmoja anasoma Chuo cha hotel ana 19 nadate nae najitahidi kumhudumia ila Pasua kichwa nataka nimwache ili akutane na wahuni anaowataka wamtie mimba aishi anavyotaka
Vinajifanya vijuaji sana,havishauriki , ukivishauri unatafuata balaa, yakiwakuta uso unaporomoka kama wa muhogo mchungu...
Vitu vinaharibiwa na mitandao ..mfano kinondoni kibinti cha miaka 19 unachosemea hapo nyonyo zimeshalala balaa
Hapo kana kutanulia kuuliza utaweza mziki huu..na mtandao pedwa vishatoa
Kinondoni na mwananyamala!!!Mmungu atusaidieVitu vinaharibiwa na mitandao ..mfano kinondoni kibinti cha miaka 19 unachosemea hapo nyonyo zimeshalala balaa
Hapo kana kutanulia kuuliza utaweza mziki huu..na mtandao pedwa vishatoa
Shopping dearMitindo ya nini?
Aisee Mimi nilidhani ni mtaani kwetu tu!!!Hali si nzuri mtaani binti below 25 anawatoto 3 na kila mtoto anababa yake ingawa mlezi ni mama yake na wamejaariwa majibu aisee unaeza juta kuhoji
π³π³single maza mwenye kipato chake hana tatizo,shida ni hawa mabint wasio na kipato chochote na bado wanawategemea wazazi wao.Mi hapa nimepanga na single maza wabichi kabisa kama 3 mi nawachora tu
Yaah na wazazi wanafurahia ..kuona binti kapata kibwana au anachelewa kurudi homeVinajionaga Beyonce mzigo kwa wazazi waoooo
Kinondoni na mwananyamala!!!Mmungu atusaidie
halafu ukiwaambia wengi wao wanakuona mnoko na kukuona wa zamani na kununa na kuvuta midomo watakoma tuuVitoto vimedata sana alafu kinachouma ni kwamba wanaishia kujaza mizigo nyumbanj kwao mtoto akikua kidogo anenda kuolewa tena kwingine siku mbili 3 anafukuzwa na tumboo juu
Hali si nzuri mtaani binti below 25 anawatoto 3 na kila mtoto anababa yake ingawa mlezi ni mama yake na wamejaariwa majibu aisee unaeza juta kuhoji
Wanaowapa wana vinini nini!??vihere here vyao
π π πhalafu ukiwaambia wengi wao wanakuona mnoko na kukuona wa zamani na kununa na kuvuta midomo watakoma tuu
Dudu tamuuuu sanaaa acha kabsaaaInasikitisha mnoo