agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
- Thread starter
-
- #61
Kuna siku nilipanda bajaji na wanafunzi story walizokuwa wanaongea aibu niliona mimi.Acha tuu mkuu,yaani adi unashangaa kwamba huyu kumbe anasoma shule asubuhi ..jioni na skin zao kutafuta maisha ya raha na boda boda wanavitumbua
Afu unakuta anajisifu ..me na watoto watatu wako kwa mama yao na kauli za kujipa moyo ntaolewa tuu
Mtabadili mbinu mpaka mtakoma. Mkibadili mbinu na nyege zinabadili pia.Wazazi tubadili mbinu za kuwalea hawa watoto...tunatumia mbinu walizotumia baba zetu kipindi hakuna IG na FB.
Wanapenda ngono hatar SanaKuna siku nilipanda bajaji na wanafunzi story walizokuwa wanaongea aibu niliona mimi.
Wana tamaa ndo zinawaponzaaViumbe wenye uume ndio wanawadanganya.
🙏 🙏Agata nakusabahi [emoji41]
Watoto hawatii mimba, wala hawawezi ku-conceiveInawezekana lakini pia wanajazwa mimba na watoto wenzao
Binti akivunja ungo ni bora aozeshwe kama tayari kashajua utamu wa dudu.Niwaulize wanawake, mnasemaje sasa kuhusu ile hoja ya wakivunja tu ungo anaetaka aozeshwe??
Au bado tuendelee na utaratibu wa "haki za binaadamu"???
Kuua ni rahisi?Hivi kutoa mimba nako ni ngumu?
Kuna siku nilipanda bajaji na wanafunzi story walizokuwa wanaongea aibu niliona mimi.
Vipi kuhusu haki za wanawake/binaadam??Binti akivunja ungo ni bora aozeshwe kama tayari kashajua utamu wa dudu.
Alafu awajifunzagi yani mimba ya kwanza labda twaweza sema ulikua hujui ila kinachosikitisha n bado anaendelea kuzaa miaka 25 kuwa na watoto wa3 na huna kipato cha maana kinachoeleweka ni kuwatesa watoto tuHali si nzuri mtaani binti below 25 anawatoto 3 na kila mtoto anababa yake ingawa mlezi ni mama yake na wamejaariwa majibu aisee unaeza juta kuhoji
Kwa sasa sio ngumu km zamaniKuua ni rahisi?