Mkuu bonge la pointπUnalaumu watoto akati, watoto wanawaiga nyie watu wazima. Watu wazima sikuhizi hawajiheshimu na ndio wazazi unategemea watoto watakuaje?
Mrudieni Mungu nae atawaokoa watoto wenu, mtoto hawezi shindana na dunia kama hana elimu ya Mungu ndani yake.
Wazazi wasioijua dini huuzaa watoto wapagani.
Niwaulize wanawake, mnasemaje sasa kuhusu ile hoja ya wakivunja tu ungo anaetaka aozeshwe??
Au bado tuendelee na utaratibu wa "haki za binaadamu"???
Alafu awajifunzagi yani mimba ya kwanza labda twaweza sema ulikua hujui ila kinachosikitisha n bado anaendelea kuzaa miaka 25 kuwa na watoto wa3 na huna kipato cha maana kinachoeleweka ni kuwatesa watoto tu
Atakuwa kashavunja ungo akiwa na miaka 8??Basi tufanye wa miaka 8 ndio wa kuozeshwa ili uanze ubishani wako.
[emoji23][emoji23]Yani unaweza kukutana na mdogo wako ukampa shikamoo..
Aisee umeongea kitu kikubwa sana !Sio kwa wanawake tu hata wa kiume wanapoteza dira kwa kasi sana. Wamekuwa watu wa vijiweni shule hawataki wao ni story za wasanii tu. Inasikitisha sana
Yes atakuwa kashavunja chaga πππAtakuwa kashavunja ungo akiwa na miaka 8??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaona maisha marahisi jaman ukikutana naye anakuomba 1000 nikanunue ndala duh mm huwa nawapa ushauri tu Lea mtoto akikua katafute kaziii .
Kwahiyo unatuchkulia poa???Waoaji wenyewe wapo?
πππππππYes atakuwa kashavunja chaga πππ
Umefuraaaaahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waoaji ndio Sisi bossSijakuelewa hapa Mkuu.
Yani mkuu ni shida mi ninae mmoja ,kuna siku nikamuita sehemu aje anywe hata soda ,akaniuliza wewe unakunywa nn nikamwambia bia,wee alinitukana balaa sitaki mwanaume mlevi sijui nini,nikamwambia hela natafuta Kwa nguvu zangu basi achana na Mimi,akaa kimya,kesho ananitumia msg baby Nina njaa hostel hakuna kitu nisamehe mpenzi wangu,nikamwambia fala wewe utakufa njaa unajifanya mjuaji kumbe unanuka njaa ,njoo nikufanyie shopping ya msoc ukale hostel hukoVinajifanya vijuaji sana,havishauriki , ukivishauri unatafuata balaa, yakiwakuta uso unaporomoka kama wa muhogo mchungu...
Ila kakwambia ukweli acha ulevi π π πYani mkuu ni shida mi ninae mmoja ,kuna siku nikamuita sehemu aje anywe hata soda ,akaniuliza wewe unakunywa nn nikamwambia bia,wee alinitukana balaa sitaki mwanaume mlevi sijui nini,nikamwambia hela natafuta Kwa nguvu zangu basi achana na Mimi,akaa kimya,kesho ananitumia msg baby Nina njaa hostel hakuna kitu nisamehe mpenzi wangu,nikamwambia fala wewe utakufa njaa unajifanya mjuaji kumbe unanuka njaa ,njoo nikufanyie shopping ya msoc ukale hostel huko
Waoaji ndio Sisi boss
Demiss nakubali ulichoandika . Lakin hii ishu ya lawama kuwatupia wanaume ni false.Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .
Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.