Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Unalaumu watoto akati, watoto wanawaiga nyie watu wazima. Watu wazima sikuhizi hawajiheshimu na ndio wazazi unategemea watoto watakuaje?

Mrudieni Mungu nae atawaokoa watoto wenu, mtoto hawezi shindana na dunia kama hana elimu ya Mungu ndani yake.

Wazazi wasioijua dini huuzaa watoto wapagani.
Mkuu bonge la point👍
 
Alafu awajifunzagi yani mimba ya kwanza labda twaweza sema ulikua hujui ila kinachosikitisha n bado anaendelea kuzaa miaka 25 kuwa na watoto wa3 na huna kipato cha maana kinachoeleweka ni kuwatesa watoto tu

Kuwatesa bibi zao pia maana unamwangalia mama anavyoteseka na mtoto mpk wajukuu unamuonea huruma na kosa sio kwao tu hata nyinyi mnaowatunuku hizo mimba jmn simkojoe nje kama hamuwezi tumia condom kwa style hii Ukimwi hautatuacha salama
 
Wanaona maisha marahisi jaman ukikutana naye anakuomba 1000 nikanunue ndala duh mm huwa nawapa ushauri tu Lea mtoto akikua katafute kaziii .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vinajifanya vijuaji sana,havishauriki , ukivishauri unatafuata balaa, yakiwakuta uso unaporomoka kama wa muhogo mchungu...
Yani mkuu ni shida mi ninae mmoja ,kuna siku nikamuita sehemu aje anywe hata soda ,akaniuliza wewe unakunywa nn nikamwambia bia,wee alinitukana balaa sitaki mwanaume mlevi sijui nini,nikamwambia hela natafuta Kwa nguvu zangu basi achana na Mimi,akaa kimya,kesho ananitumia msg baby Nina njaa hostel hakuna kitu nisamehe mpenzi wangu,nikamwambia fala wewe utakufa njaa unajifanya mjuaji kumbe unanuka njaa ,njoo nikufanyie shopping ya msoc ukale hostel huko
 
Hivi vitu vinaenda in cycle alietelekezwa leo kwa bibi yake kesho atakua mama wa mwingine tena hatoona shida kuzaa tu maana yeye alikulia huko bila upendo wa baba na mama ndomana kizazi hiki hakioni shida kufanya haya kuheshimiana hakupo tena
 
Yani mkuu ni shida mi ninae mmoja ,kuna siku nikamuita sehemu aje anywe hata soda ,akaniuliza wewe unakunywa nn nikamwambia bia,wee alinitukana balaa sitaki mwanaume mlevi sijui nini,nikamwambia hela natafuta Kwa nguvu zangu basi achana na Mimi,akaa kimya,kesho ananitumia msg baby Nina njaa hostel hakuna kitu nisamehe mpenzi wangu,nikamwambia fala wewe utakufa njaa unajifanya mjuaji kumbe unanuka njaa ,njoo nikufanyie shopping ya msoc ukale hostel huko
Ila kakwambia ukweli acha ulevi 😀 😀 😀
 
Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .

Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
Demiss nakubali ulichoandika . Lakin hii ishu ya lawama kuwatupia wanaume ni false.
Yes baadhi ya wanaume wanahusika. Lakin pia wanawake wenyewe ni mauzauza .. kwann..

Watoto wakike wanakuwa controled na fantasy reality..
Unapo muaproach.. kwanza ata kujudge kama msanii flan wa muziki. Kama hujafanana nae unakula buti.
Waache kudanganywa na series za kikorea na video za wasanii. Waache kujirahisisha.

Reality ni tofauti na wanachoona mtaani
 
Back
Top Bottom