Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Mkuu bonge la point👍Unalaumu watoto akati, watoto wanawaiga nyie watu wazima. Watu wazima sikuhizi hawajiheshimu na ndio wazazi unategemea watoto watakuaje?
Mrudieni Mungu nae atawaokoa watoto wenu, mtoto hawezi shindana na dunia kama hana elimu ya Mungu ndani yake.
Wazazi wasioijua dini huuzaa watoto wapagani.