Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,247
- 1,815
Habarini wanajamii wenzangu.
Leo ninashare direct na ninyi hili, miaka kadhaa iliyopita katika harakati zangu za kazi nilikutana na binti mmoja ambaye ninakiri nilimpenda na nikamlea nikimchukulia kama mwanangu aliweza kuishi nami mpka akawa msichana mrembo wakuolewa ikiwa ni baada ya yeye kumaliza masomo yake.
Honestly sikuwa na hiyana nkamwambia kama anakupenda aje tumuone na uolewe kama unavyotaka kila kitu kilienda sawa, baada ya miezi mitatu kesi zilianza, ikawa yule binti analia sana anasema jamaa yupo busy na kazi hamjali, mara jamaa ana wanawake akimuuliza ni mnuno mwez mzima.
Mara jamaa hataki stor za maendeleo worst bint alipata kaz na jamaa akamwambia marufuku kaz kwangu. Binti nilimsihi amlilie Mungu kwani ndiye atakayemuonyesha njia.
Eee bwana after one year bint akabahatika kupata mimba , mshkaji akazidisha maudhi na sasa akamkimbia kabisa na kumuomba binti uhuru. Binti aliumia mno na kilichotokea ni kuparalyse na mimba ikatoka.
Ni kipind ambacho nilitambua kuwa dunia ina watu na wanawake tunazaa jamani. Sasa jamaa alivyoskia tetes za binti basi alimdivorce na alitoweka mazima, ikaishia hapo.
Nilimpambania sana na alipona na sasa nkamuomba aniambie kwanini alienda penda paspotakiwa?
Mabinti msiforce upendo sio kila mtu anaweza penda wengine wataishia kuwafundisha ugaidi na chuki...