Mabinti msilazimishe kupendwa, wengine ni magaidi hawajui kupenda

Mabinti msilazimishe kupendwa, wengine ni magaidi hawajui kupenda

Uzoefu wangu unaonesha wanawake wengi wanapendaga penye changamoto yani[emoji23][emoji23][emoji23]!!! Hapo ndipo atang’ang’ania weee na humwambii kitu akasikia yeye ndio kapenda hivyo! Ambapo akili yake iko tulivu by 100% hapataki ndio maana wanakataaga watu genuine na kukubalia watu fake.

They never settle where there is comfort by 100%! Kama huamini mpe hata mkeo comfort by 100% hapo msaidie kazi zake mpikie mpe uhuru afanye analotaka usimuingilie we mdekeze tu kisha ndani ya miezi 6 utanipa majibu kama hajatombwa nje na kukuletea kibezi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnao pendwa na kupenda, mkuje huku kuna jambo lenu.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hii ndio inafanya ndoa sasa maana ni watu wawili ambao mko incompatible mnajaribu kushirikiana kufanya maisha! You compromise aidha unashusha standards zako kuendana na mwenzio
against your will,
unakuta maisha yako yanakuwa magumu sana..
 
Mie nimepanga nikioa naanza biashara za kusafiri na kuacha mimba nyuma[emoji23][emoji23][emoji23] hivyo mama atakuwa na shughuli ya kuzaa na kulea tu! Maswala ya kukaa na mke anikere kila nikirudi jioni siyataki maana wanawake hamkosi maudhi!

I can buy this idea, sema hawa viumbe hata akiwa mjamzito wanaliwa tu…. ila it’s good for you kama lengo ni kuepuka maudhi.
 
Habarini wanajamii wenzangu...

Leo ninashare direct na ninyi hili, miaka kadhaa iliyopita katika harakati zangu za kazi nilikutana na binti mmoja ambaye ninakiri nilimpenda na nikamlea nikimchukulia kama mwanangu...aliweza kuishi nami mpka akawa msichana mrembo wakuolewa ikiwa ni baada ya yeye kumaliza masomo yake...

Honestly sikuwa na hiyana nkamwambia kama anakupenda aje tumuone na uolewe kama unavyotaka ...kila kitu kilienda sawa, baada ya miezi mitatu kesi zilianza , ikawa yule binti analia sana anasema jamaa yupo busy na kazi hamjali, mara jamaa ana wanawake akimuuliza ni mnuno mwez mzima...

Mara jamaa hataki stor za maendeleo...worst bint alipata kaz na jamaa akamwambia marufuku kaz kwangu. Binti nilimsihi amlilie Mungu kwani ndiye atakayemuonyesha njia.

Eee bwana after one year bint akabahatika kupata mimba , mshkaji akazidisha maudhi na sasa akamkimbia kabisa na kumuomba binti uhuru. Binti aliumia mno na kilichotokea ni kuparalyse na mimba ikatoka.. Ni kipind ambacho nilitambua kuwa dunia ina watu na wanawake tunazaa jamani. Sasa jamaa alivyoskia tetes za binti basi alimdivorce na alitoweka mazima....ikaishia hapo.

Nilimpambania sana na alipona na sasa nkamuomba aniambie kwanini alienda penda paspotakiwa....?

Mabinti msiforce upendo sio kila mtu anaweza penda wengine wataishia kuwafundisha ugaidi na chuki...
Hakuna gaidi asiye na ndoa timamu
 
Mie nimepanga nikioa naanza biashara za kusafiri na kuacha mimba nyuma😂😂😂 hivyo mama atakuwa na shughuli ya kuzaa na kulea tu! Maswala ya kukaa na mke anikere kila nikirudi jioni siyataki maana wanawake hamkosi maudhi!
Hiyo ndo njia salama la sivyo utafungua nyuz nyingi hapa
 
Mie nimepanga nikioa naanza biashara za kusafiri na kuacha mimba nyuma[emoji23][emoji23][emoji23] hivyo mama atakuwa na shughuli ya kuzaa na kulea tu! Maswala ya kukaa na mke anikere kila nikirudi jioni siyataki maana wanawake hamkosi maudhi!

Kha![emoji3], kwahiyo miezi 9 yote unayeya???
 
Back
Top Bottom