Mabinti msilazimishe kupendwa, wengine ni magaidi hawajui kupenda

Kuna jinsi ukiwa mtu usiye na fujo, unaonekana dhaifu yaani Ke sehemu kama hzo ndio wanapenda.
Kuwa bandidu, muhuni muhuni, muongo muongo. Ke wanakung'ang'ani. Demokrasia kwenye mapenzi haifai.
 
Cha ajabu kwenye mahusiano ya hivyo ndio mtu atafanyiwa vitimbi vyote ila yumo tu na anakwambia hawezi kumuacha, ila anapopendwa anaondoka vizuri tu bila hata sababu ya maana.

Haya mambo hayanaga ushauri, we unavyoshauri hapa kuna mtu huko ndio kwanzaa kamganda mtu hadi kieleweke. Likimkuta la kumkuta ndio akili inastuka ikiwa ishavurugika.
 
Mie nimepanga nikioa naanza biashara za kusafiri na kuacha mimba nyuma😂😂😂 hivyo mama atakuwa na shughuli ya kuzaa na kulea tu! Maswala ya kukaa na mke anikere kila nikirudi jioni siyataki maana wanawake hamkosi maudhi!
😀 😀 😀
 
Cha ajabu kwenye mahusiano ya hivyo ndio mtu atafanyiwa vitimbi vyote ila yumo tu na anakwambia hawezi kumuacha, ila anapopendwa anaondoka vizuri tu bila hata sababu ya maana.

Haya mambo hayanaga ushauri, we unavyoshauri hapa kuna mtu huko ndio kwanzaa kamganda mtu hadi kieleweke. Likimkuta la kumkuta ndio akili inastuka ikiwa ishavurugika.
Kabisa yani😅😅😅 anakula makofi kichizi na wala hawazi
 
Back
Top Bottom