Mabinti msilazimishe kupendwa, wengine ni magaidi hawajui kupenda

Inaonekana boss ww ni mzoefu yaani iko hivyo. Kwa tafiti nilizofanya kidg mwanamke ukimpa uhuru sana anakupanda kichwani. Wanapenda sana pahali pa fujo hawa
 
Nimewahi kupenda wasionipenda sana tu. Ndio maana kuna mada nazungumzia kulazimisha Upendo.
Nothing interesting on me so sidhani wanaweza kujisumbua kunipenda
Kwanini unasema nothing special on you kweli kuna binadamu wa aina hii duniani!

Mambo ya mapenzi ni kizungumkuti hasa haya ya siku hizi ni mwendo wa kuumizwa kila siku.
 
Means tayari yupo katika kuumoz
Nimewahi kupenda wasionipenda sana tu. Ndio maana kuna mada nazungumzia kulazimisha Upendo.
Nothing interesting on me so sidhani wanaweza kujisumbua kunipenda
Da 'Vinci, inamaana moyo wako now hausense kupendwa? Na hauwez kupenda ? Tatizo hilo..
 
Inaonekana boss ww ni mzoefu yaani iko hivyo. Kwa tafiti nilizofanya kidg mwanamke ukimpa uhuru sana anakupanda kichwani. Wanapenda sana pahali pa fujo hawa
Yeah nina uzoefu wa miaka mingi na saikolojia ya hawa ndugu zetu😂 hivyo hawanipi tabu!
 
Wengine wanaishia kama mtoto wa Kajala kushare dushe na Mama yake ili abakie mjini, matokeo yake dushe limemkolea na shule hatakji tena.
 
Well!
Ila mi ni Zuleykha sio Kajala .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…