Mabinti msilazimishe kupendwa, wengine ni magaidi hawajui kupenda

Niungie huyo Binti.
 
Yes na ndiyo maana nakuuliza, are you also like that?
Sio rahisi. Hivi Kajala unadhani anasumbuliwa na nini ? Embu sku moja mskilize vyema historia yake, utagundua madhara ya kuchanganya bangi kwenye damu.
 
Psychology ya mwanamke ni ngumu sana kuilewa,
Ila tunaenda nao hivyo hivyo tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16], nimekuelewa jomba,
Hii hatari sana kwa tunaosumbuliwa na stress za mapenzi, kumbe iko hivo
 
Kabisa kiongozi umenena sawa nilimpenda sana mke wangu akaja kuniona mjinga kabisa kama mtu niliyenasa kwake kamwe siwezi kutoka na siwezi kupata mwanamke mwingine duh! Siku moja akanambia siwezi kupata mwanamke mzuri kama yeye...Na kwamba mwanaume gani nashindwa kuvumilia mikikimikiki ya mwanamke duh! Alinifanyia vituko vingi sana.Nilibadilika nikajikaza kiume nikaanza kumpuuza nikatafuta pisi moja kali, yeye nikaanza kumpeleka kibabe saizi katulia heshima imerudi na kamwe siachani na pisi yangu hii nyingine mahusiano yetu yameanza mwaka wa tatu na tumeshapanga kuzaa saizi.. Baadhi ya wanawake ni wehu kabisa.
 
Asa apo kiongozi ndoa yenu na mkeo ni vunga?
 
We jamaa unachamba zaidi ya Shilole
 
Haahaaahaa[emoji1787][emoji1787][emoji16]

Wewe ni muongoo sana sana
 
Mie nimepanga nikioa naanza biashara za kusafiri na kuacha mimba nyuma[emoji23][emoji23][emoji23] hivyo mama atakuwa na shughuli ya kuzaa na kulea tu! Maswala ya kukaa na mke anikere kila nikirudi jioni siyataki maana wanawake hamkosi maudhi!
Sasa mimba inazuia nini?
 
Siwezi kutumwa chips morocco mimi atakaa na dadayake [emoji23][emoji23][emoji23]
Haahaaahaa

Kudadeki full kukutuma malapa ya mateja tandale mimba ina hamu ya kuyanusa[emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Haahaaahaa

Kudadeki full kukutuma malapa ya mateja tandale mimba ina hamu ya kuyanusa[emoji16][emoji1787][emoji1787]
Mambo ya kutumana chips eti za Morroco ndio tamu banaa😆😆😆 nazitaka! Hapo saa 5 usiku yani! Utoke Kimara hadi Morocco ukamletee chips
 
Ukweli mchungu.
 
Aseee we kiboko [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…