Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

wapogo macho juu sana hasa wakina palanjo
 
Una stress sana kwanza ulileta thread watu wasioe wachaga leo umekuja kugeneralise pote kinachofuata utasema watu wasioe wanawake tanzania

Kila sehemu watu wazuri na wabaya, Mental health ni tatizo kamwone daktari kabla hali haijawa mbaya
Asifiaye mvua imemnyea.
 
Kanda hio feminist wengi wameambukizwa ujinga na wanawake wa Kenya. Kuishi na mwanamke wa Kenya inatakiwa uwe na phd ya uvimilivu.
Wanawake wa Kenya ni kama wanawake toka Nigerian too much trouble.
 
Kwa hiyo tumekubaliana tunapiga na kusepa?
 
Tamaa. Wanaamini muda wote wanatakiwa kuwa na pesa ili kuishi vizuri na hiyo pesa ashike yeye. Ukitaka jua hawajielewi tazama matumizi yao ndipo utajua hizi ni ng'ombe kama ng'ombe zingine tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Nilishawahi kuwa na mahusiano na Binti wa Kipare nilienda nae fresh sana hata hela zake nilikuwa namuwekea maana alikuwa ni MwanaChuo sema alikuwa ni Kiburi sana alichokuja kuzingua baadae alinitengenezea mazingira fulani akanipiga hela na alikuwa na laptop yangu akaondoka nayo. Sijui mleta mada thread yako inaweza ikawa inaeleza ukweli. Nilicho experience Mimi kwa yule Binti ni Kiburi lakini Mimi nilikuwa namwangalia tu.
 
Daaa,hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…