Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Your days are numbered then. Begin the count down.Mimi Ambaye Nipo Kaskazini Nimeoa Na Watoto Tele Hapo Sanya Juu, Lawate, Fuka
Nivunje Ndoa Ama Nivumilie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Your days are numbered then. Begin the count down.Mimi Ambaye Nipo Kaskazini Nimeoa Na Watoto Tele Hapo Sanya Juu, Lawate, Fuka
Nivunje Ndoa Ama Nivumilie
wapogo macho juu sana hasa wakina palanjoNilikutana na moja ya kimeru hiyo demu nilipoonyesha interest tu akaona huyu fala amenielewa atafanya ninachotaka.
Akaniomba laki tatu yaani from no where demu kaomba laki tatu as if ananipima. Nikaona huyu mbali na kuwa hana maisha lakini amejawa na kiburi na shetani ndani yake.
Nikamwambia haina shida mwisho huu wa mwezi nikumbushe nitakupatia. Nikamwambia nitakubadilishia na simu nionyeshe simu unapenda yeye alikuwa anatumia kasimu sijui brand gani ya kichina ile maana hata logo yake haieleweki.
Kuna siku nikamchukua twende home by surprise, tulipofika tukapelekeana moto. Hakuna kanachojua kitandani sijui hata X huwa hakatazami yaani hakuna kitu kanajua. Unapiga mashine unamtazama usoni macho makavu haonyeshi hata stimu kuwa anapagawa cha zaidi anaweka muonekano kama yupo surprised kuwa tupo uchi.
Nikapiga round mbili nikamrudisha anapoishi na mdogo wake nikamtoa elfu kumi. Nikamwambia sijabeba pesa leo nitakutumia.
Nilipoondoka hapo hajaniona hadi leo nikaona shetani wewe
Asifiaye mvua imemnyea.Una stress sana kwanza ulileta thread watu wasioe wachaga leo umekuja kugeneralise pote kinachofuata utasema watu wasioe wanawake tanzania
Kila sehemu watu wazuri na wabaya, Mental health ni tatizo kamwone daktari kabla hali haijawa mbaya
Utakuwa hauishi Dar wewe kuna wanawake wanaoongoza kuolewa kama wazaramo na wakwere.Lakini wanaoongoza kwa kuolewa ni wao. Ni wanawake wa maana sana
Heko kwa Chagga na Maasai Queens. Kazeni hapo hapo.
Wanaolewa kimkakati. Si huwa unaona hata ndoa zao ni za fahari. Ukiwa na hela wanawake 100 wa kwanza kukumendea watatokea kanda hiyo.Na mie nashangaa wanawake wa kaskazini wanaolewa kwa ndoa tena za gharama kila siku.
Afu huku wana kandiwa sielewagi yaan
Wewe sikuzote una mapenz ya kweli,Mungu akubariki sanaNakupenda bila malipo.
Mtazamo wako ni Positive sana. 😍😍😍
Tulia MazziyahAcha Uboya wewe niite Ngoshi wane 😂😂😂
Wanawake 100 wa kwanza... hapo umeelewekaWanaolewa kimkakati. Si huwa unaona hata ndoa zao ni za fahari. Ukiwa na hela wanawake 100 wa kwanza kukumendea watatokea kanda hiyo.
Ngoshi Wane niite hivyo basi ili nifurahi jumapili hii 😉Tulia Mazziyah
Marufuku kujibadili jina
Kupata utapata Ila anaendana na wewe Hilo ndo swali au wewe bado hujakua?Apo kwny kutokujua utapata wap ndo umezingua Mkuu,au na ww umehadithiwa hayo ulosema
😂😂😂🙌Tamaa. Wanaamini muda wote wanatakiwa kuwa na pesa ili kuishi vizuri na hiyo pesa ashike yeye. Ukitaka jua hawajielewi tazama matumizi yao ndipo utajua hizi ni ng'ombe kama ng'ombe zingine tu.
Daah,mbona umefurahi hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2998][emoji3590]
Daaa,hongera sanaNilishawahi kuwa na mahusiano na Binti wa Kipare nilienda nae fresh sana hata hela zake nilikuwa namuwekea maana alikuwa ni MwanaChuo sema alikuwa ni Kiburi sana alichokuja kuzingua baadae alinitengenezea mazingira fulani akanipiga hela na alikuwa na laptop yangu akaondoka nayo. Sijui mleta mada thread yako inaweza ikawa inaeleza ukweli. Nilicho experience Mimi kwa yule Binti ni Kiburi lakini Mimi nilikuwa namwangalia tu.
Hapo Mimi Napita Chap MkuuTufahamiane mzee...mimi nipo kibongoto