Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

jichanganye
 
We hujakaa na wakwere au wanawake wa kiswahili. Huna akili., hujiamini.
 
Umeongea ukweli mtupu, kuna jamaangu sana ilimtokea mwaka juzi demu alitoka arusha akaja dar, jamaa akajipakia akaoa kwa matambo sana ndoa kubwa, akachangisha ndugu na jamaa ili afanikishe jambo lake. 8M ikapatikana wakafunga ndoa,

Ebana eee hata miezi6 haikuisha mchaga akaanza yake unaambiwa waliachana mchana kweupe, mchaga alikomba kila kitu. Ile kupanic jamaa akaanza kuuza vitu oyo. Mpaka leo hii unaambiwa mshikaji hana ham na ndoa na alishafulia vibaya mno
 
Ndio hawa wamebaki kusema....Kataa ndoaπŸ˜…πŸ˜…
 
Nikki wa Pilli yamemkuta mambo mengi sana.
 
Basi sawaaa.
 
Naona umeongelea mahusiano yangu we mzee.

Rhumba ninalopitia ni Mungu pekee anajua aisee. Kaskazini ibaki kuitwa kaskazi hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kesi ya talaka ni lazima ianzie mahakama ya mwanzo na siyo mahakama ya wilaya moja kwa moja?!
1.Una anzia kanisani/Bakwata/ustawi wa jamii ngazi ya kata kwa ajili ya usuruhishi.
2.Suruhu ikishindikana, unapewa form namba 3 unapeleka mahakamani (ya mwanzo)
3. kama hautaridhika na mwenendo wa kesi/hukumu basi una kwenda mahakama ya wilaya
 
Classmate wangu high school anatokea Moshi ila ameoa kwetu unyakyusani alinigawia neno la busara, ipyax usije ukathubutu kuoa kwetu (kaskazini). Wanawake wa kwetu wana upendo lakini hawana caring (kujali),pia wametanguliza pesa mbele.

Be warned brother yani hata ukipata yellow bone (mweupe) piga sepa usitangaze ndoa maana utajuta. Mwisho wa kumnukuu. Huruma ya kiuanamke ni muhimu sana kwa Amani na furaha ya familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…