Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #561
Bora mseme UkweliNiko kaskazini mwaka wa nne yote uliyoandika nayaona ni wabinafisi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora mseme UkweliNiko kaskazini mwaka wa nne yote uliyoandika nayaona ni wabinafisi sana
Ebu tumuone😎Ila ni pisi balaa. Nina rafiki ni mmasai aliyemix na mpare. Yule dada ni mzurii
Na ana tabia njema, sijawahi notice kama ni mchoyo.
jichanganyeKijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Single kwenyewe changamoto ukilala mwezi mmoja unaanza kuweweseka mara kitanda kipana mara baridi mradi mateso yakupateMahusiano ni changamoto sana sikuhizi....kheri tuishi single eti?
We hujakaa na wakwere au wanawake wa kiswahili. Huna akili., hujiamini.Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Umeongea ukweli mtupu, kuna jamaangu sana ilimtokea mwaka juzi demu alitoka arusha akaja dar, jamaa akajipakia akaoa kwa matambo sana ndoa kubwa, akachangisha ndugu na jamaa ili afanikishe jambo lake. 8M ikapatikana wakafunga ndoa,Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Wamepanga foleniKwani kuna watu wanawafuataga nyie kweli?[emoji23] Ndiyo nasikia kwako...
Ndio hawa wamebaki kusema....Kataa ndoa😅😅Umeongea ukweli mtupu, kuna jamaangu sana ilimtokea mwaka juzi demu alitoka arusha akaja dar, jamaa akajipakia akaoa kwa matambo sana ndoa kubwa, akachangisha ndugu na jamaa ili afanikishe jambo lake. 8M ikapatikana wakafunga ndoa,
Ebana eee hata miezi6 haikuisha mchaga akaanza yake unaambiwa waliachana mchana kweupe, mchaga alikomba kila kitu. Ile kupanic jamaa akaanza kuuza vitu oyo. Mpaka leo hii unaambiwa mshikaji hana ham na ndoa na alishafulia vibaya mno
Nikki wa Pilli yamemkuta mambo mengi sana.sweet mangi
Dah, dai na dai bili,
Nyingi nalipa ili,
Njaa isije katili,
Msingi uwe kamili,
Vocha jumatano, elf moja Mia tano,
Jiunge bando la chuo,
Mpaka tena jumatano,
Sina takataka,
Caterpillar, kata kila demu anaenitaka,
Kata kila shorts,
Ila wanasema, kila demu anataka kila, mwanaume amkatie pochi,
Sitakupa Indian hair,
Ntakupa mtaji wakuwauzia,
Brazilian hair,
Sitakupa brazilian hair,
Ntakupa mtaji wakuwauzia,
Perruvian hair,
Mapenzi ya Bongo movie bwana.Hatimae Nikki wa pili kafunguka kwa mara ya kwanza.
Aliyeimba "sweet mangiii" sio wewe kweli?
Basi sawaaa.kaskazini kuolewa wanaolewa sana na kawaida ila kusema ndoa za mtandaoni baadhi ya sehemu hwanaga mbwembwe ..
Mfano mimi nimekaa mikoa ya pwani asilimia kubwa ya wasichana niliosoma nao walishaolewa yaani 95% kwa ninaowajua wengine sijui ila sio ndoa za kujivunga za mitandaani yaani huwezi kujua mpaka uulize watu wapo kweny ndoa zaidi ya miaka 10..
Masherehe yenu ya ukumbini ni mila jamii kama wahaya ,wachga na wengine wengi huku kwenu ni ushamba wala hatupendelei but ndoa zinafanyika kama kawa.
Hapa ofisini kwangu wapo wengi haswa assistants wa kada tofauti ila sijawahi kuona harusi ya wa huko wengi wamegonga 29 na kuendele. Sio kwamba waliolewa hawapo wapo wengi sema watu wazima sana ila hawa madogo wenye miaka 4 kazini ni wengi mno halafu wanaume
wa huko wameoa sana huko kaskazini kwao.
Sina maana mbaya kwa vile msichana wa sehemu yeyote ile anaweza kuolewa wala hamna shida ila usijaribu kuhesabu hizi harusi za mbwembwe kwani jamii nyingine hatufagilii kwa sana kwenu ni ushamba hatuna time nazo na maisha yanasonga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umeongelea mahusiano yangu we mzee.
Rhumba ninalopitia ni Mungu pekee anajua aisee. Kaskazini ibaki kuitwa kaskazi hahahaha
1.Una anzia kanisani/Bakwata/ustawi wa jamii ngazi ya kata kwa ajili ya usuruhishi.Kesi ya talaka ni lazima ianzie mahakama ya mwanzo na siyo mahakama ya wilaya moja kwa moja?!
ni kama kujichua, hakuna kitu
It will end in 😭😭Jamani nimenasa kwa mpare , vip na wao hawasomekiiiiiiiii????? Nipeni uzoefu wakuuu , kabla sjapigwa na kitu kizito
Ndio mkuuuuNdio hawa wamebaki kusema....Kataa ndoa😅😅
Kwa kweli 😂😂😂😂Nikki wa Pilli yamemkuta mambo mengi sana.