Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Nimekubali.

Hata mi najua kabisa hawa watu sio, ila ndo nna watoto nao watatu.
ila Wachaga, shikamooni
Asprin mekumiss shem darling
 
Nimekubali.

Hata mi najua kabisa hawa watu sio, ila ndo nna watoto nao watatu.
ila Wachaga, shikamooni
Asprin mekumiss shem darling
Khaaaa... Hata wewe shemela? Nilitegemea ungekuwa mtetezi wangu
 
Unapenda uromantic wewe 🤣
Nakutafutia story, nitakayokuja direct bila chembe ya uromantique.

Sometimes unatakiwa upate vyote 🥰 ile sms ukiisoma ni kucheka na sio kutabasamu. Unacheka mpaka unagonga Hi 5 na mdoli 😂😂
😂😂😂
the good thing is naupenda uromantique na wenyewe unanipenda Mimi..!!

Halafu ka-mwamposa kananipenda ajabu..?!😂
 
Tafuteni wanawake mnaoendana nao kitabia, kimalezi na kimakuzi ili mdumu, Sasa kutafta mwanamke hamuendani kiutamaduni ni kutafta majanga. Wanawake wa kaskazini ndio wako hivo hata kimalazi hawataki utani na wanaume washazoea, wanawake wa kivhaga Wana roho ngumu kuliko mwanaume dhaifu hata kufanya decision Sasa wewe ka msukuma, mkurya sijui mzaramo yatakushinda tu
 
Washamba tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Miliona 8 ndoa kubwa? Hii inaonyesha mnaolalamika ni watu wa aina gani.
Milion 8 ndogo sana hyo kufanya sherehe haitoshi vinywaji hata mapambo ya ukumbi
 
Naona umeongelea mahusiano yangu we mzee.

Rhumba ninalopitia ni Mungu pekee anajua aisee. Kaskazini ibaki kuitwa kaskazi hahahaha
Hebu funguka kidogo kwa faida ya Wana ukoo wa jf.
 
Hebu funguka kidogo kwa faida ya Wana ukoo wa jf.
Nimeshafuatwa inbobo na mikwara yenye maneno matamu kuwa nisiwaandame wakaskazini huko🤣

Tuwapite kimya kimya mzee
 
😂😂😂😂😂 ukweli utawaweka huru.
Hebu hesabu wanawake wa kaskazini ambao unawafahamu halafu wameolewa na wamakonde. Mtoe mama wa Lamada🤣
Nadhani utaelewa mziki ulivyo🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mada yako safari hii haijafutwa[emoji1787][emoji1787]
 
Mi nadhan Ni tabia binafs ya mtu,
Tanzania muingiliano ushakua mkubwa
Kuna wachaga wamezaliwa na kukulia mbeya, hao huwez Sema Wanatabia za kaskazini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mchaga aliyezaliwa na kukulia mbeya atakuwa hatari kuliko hata aliyekulia uchagani[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…