Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Mkuu hii mbona inaeleweka toka kitambo , japo sio wote , ila asilimia kubwa hao wanatakiwa tuu wawe single mother
Duh!
Mnawaonea bure.

Mbona ni wife material,na wanazidi kuolewa.
 
Nimekosa sana, nimekosa mimi... Depal nisamehe mimi[emoji16]
[emoji38]
images-512.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tafuteni wanawake mnaoendana nao kitabia, kimalezi na kimakuzi ili mdumu, Sasa kutafta mwanamke hamuendani kiutamaduni ni kutafta majanga. Wanawake wa kaskazini ndio wako hivo hata kimalazi hawataki utani na wanaume washazoea, wanawake wa kivhaga Wana roho ngumu kuliko mwanaume dhaifu hata kufanya decision Sasa wewe ka msukuma, mkurya sijui mzaramo yatakushinda tu

Wadada wa Arusha na Moshi wanaolewa au kuwa kwenye mahusiano vizuri na wanatulia sana tu.
 
Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini

Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.

Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini

Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini

Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini

Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu

Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.

Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Ni kweli kabisa mimi mwenyewe nilikutana nayo hayo...
 
WACHAGA hawaepukiki kwenye kuwaoa au kuolewa nao n hv Kama kungekuwa na sensa ya makabila Basi WACHAGA wangeongoza angalia mazingira unayoishi, fanyia kazi au unapopenda kupotezea muda je WACHAGA wapo kwa asilimia ngapi? Na je status yamaisha yao ipoje? Lazima ukute anajiweza na ukimuangalia baada ya miez au miaka kadhaa unamuona ATAKUWA mbali zaidi.

Kwakua umaskini n tatzo kwenye familia zetu nyingi na kupelekea kila anaetaka kuoa au kuolewa lazima achungulie kule anapotaka kwenda kunanin ndipo hapo wengi hujikuta anakutana na mchaga.

WACHAGA Kiukweli ndio kabila lenye spirit ya kumcha MUNGU, kwenda shule na kupambana kwelikweli ndio Mana kila ofisi kila taasisi kila Biashara na kila eneo lolote like lenye pesa WACHAGA ndio umewakuta wakwanza.

Vijana wajifunze kujua Kuna malezi ya familia hvyo mtu kuwa na roho nzuri au mbaya haitokan na wewe kabila gan Bali n maadali yahuko ulipolelewa.

WACHAGA hawaepukiki Kama unataka kuendelea muhimu omba utue kwa mwelewa.
Kwa nn unaelezea wachaga pekee utadhani Kaskazini ni ya wachaga peke yao, mi naona maelezo yako ni mufilisi na hakika wewe utakua ni mchaga, sasa unajaribu kuwamba ngoma
 
Back
Top Bottom