Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

UKO SAHIHI SANA
 
Nimekosa hela huko kwenye mishe zangu, halafu aniletee maswali kama TRA kuniuliza nimeingiza pesa ngapi, nitamkata jicho hilo hatoamini kama ni mimi ambaye namwita my love.
😂 Inabidi mara moja moja unasafiri naye akaone mambo ambavo huwa yanavoenda.
 
Kama wewe mwanaume nakuweka daraja la mvulana.
Mpaka leo unagawa watanzania kwa ukanda.
BAdo tu unakandia na kudidimiza wanawakeee?
Duh kazi ipo kwel kweli
Usemacho ni kweli na alichosema yeye ni kweli zaidi ya ulichosema wewe!
 
Hawa ni kweli wapo kila sehem yenye maslahi mazuri. Nakotafutia rizki wamejaa wengi tu na wanajua kui saka ela hao balaa liwake jua au kuwe na mvua lazma ela ipatikane. Ukiwa karibu nao ivi viela vidogovidogo utakuta si haba haviku pigi chenga.

Changamoto yao wana tamaa sana. Wapo resi sana kwene ela usipokaa sawa unaezajikuta upo selo unanyea ndoo. Mnaeza wote kupata mgao hlf unakuta yeye mwenzio kapata mara nne au tano zaidi ya wewe lakn usishangae akakufata anang'ang'ana mgawane ulichopata wewe. Jamaa wana udwanzi sana😆. Inahitaji moyo mkuu kuishi nao mkaenda sawa.

Zamani nilijua wale wapare nao ni jamii moya na hawa kumbe sio wapare ni watu na nusu.
 
Hahaha Kuna jamaa Kaka yake aliuliwa Bado kijana Sana kama Miaka 28 Na mchaga Ili abaki na Mali.
Kwanini wanafanya hivyo ? Au wao wachanga mira zao za mirathi zipoje? Ukienda kanda ya ziwa mume alifariki mali ana rithi mke na watoto wakiume, kwao wachaga inaonekana kwao ni tofauti ndiyo maana wanaua wanaume mapema kabla ya mali kuwa nyingi.
 
Daah. Juzi kati kuna jamaaetu kavuta mchuchu wa pande za uko. Saitakuwaje wakuu?🙆‍♂️mbona kama ishakuwa kwere?
 
Sidhani kama ni wa Kaskazini peke yake,asilimia kubwa ya wanawake wa siku hizi almost nchi nzima wako hivyo,niliwahi kusema humu mambo ya Jando na Unyago yarudishwe but in a modern way,hali ni mbaya sana kwenye mahusiano ya ndoa nowadays...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…