Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Wamachame hapana bosi wangu. Tusidanganyane!
 
Si
Sijui hii ni laana au wanaume wa Kaskazini nao wana shida?
 
We ni muongo mkubwa,tuko hapa Kaskazini mwaka wa 15 sasa tunafanya kazi hapa,wadada wa huku ni mbwa,wengi wao nasema ni mbwa....hivyo yani

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ila ni pisi balaa. Nina rafiki ni mmasai aliyemix na mpare. Yule dada ni mzurii
Na ana tabia njema, sijawahi notice kama ni mchoyo.
Samahani huyo Naomba uniunganishe naye tafadhali
 
Bora mabinti wa kaskazini wanazungumzwa kilabwakati humu mitandaoni walau wanaoleka hao wa pande nyingine vipi mbona hatuwasikii? Kama wao ni bora mbona hamuelekezani watu wakaoe wapi?
Toa na option mkuu kuwa hawa wa kaskaskazini hawafai je watu wakaoe wa upande gani?
 
Nimescreenshot hii komenti, nataka nitengeze bango lake kabisa kuna sehemu nataka niwatumie kama zawadi...shukrani kwa note hii
 
Inasomeka hivi kabla haijafutwa


"
Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini

Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.

Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini

Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini

Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini

Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu

Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.

Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…