Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Kama Arusha ulikwenda Meru na wale wanao jiita waarusha. Ulipotea njia mkuu
 
Hawa mabinti wa Kaskazini wanajua kutengeneza ndoa... Utagandwa wewe,, utatambulishwa kwa mama mkwe na kupelekwa uchagani kabla hujaoa. Ukitoka huko lazima utangaze ndoa....sijui wanaloga au vipi Hila wapo vizuri kubana na kuganda kama ruba
 
Hawa mabinti wa Kaskazini wanajua kutengeneza ndoa... Utagandwa wewe,, utatambulishwa kwa mama mkwe na kupelekwa uchagani kabla hujaoa. Ukitoka huko lazima utangaze ndoa....sijui wanaloga au vipi Hila wapo vizuri kubana na kuganda kama ruba
Utagandwa kama una kitu, na hapo unakuwa unawindwa tu ili uingie kwenye mfumo.
 
Kuna ukweli,nipo huku,kuna jamaa yangu tangu kaoa huku uhuru wake umetombwa na mke wake
 
Hawa wanawake wa kichaga ni hatari mno nishashuhudia watu kama 5 waliodhulumiwa na wengine kupelekwa ardhini na hao mawakala wa ibilisi...kwenye utafutaji nawakubali mno ila sasa mukishatoboa tu siku zako zinahesabika ila dawa yao ni kwamba mukishatoboa tu muue yeye
 
Na ukitaka kutoboa kimaisha fasta kuwa na wa kaskazini.. wana akili
Ya kutafuta pesa
 
Ndoa ina muda gani? Na kabla ya ndoa hakuona dalili? Masuala ya uchumi kwa jamaa yapoje?
Ndoa inakama mwaka na miezi sita,mwanamke nadhani alificha tabia zake ili aolewe,jamaa anakipato cha kati yaani sio njaa njaa,ninampango wa kum toumbea
 
Wana tabia za kiume jike dume kumweka ndani ni sawa na kumweka mwanaume mwenzio
 
Na ukitaka kutoboa kimaisha fasta kuwa na wa kaskazini.. wana akili
Ya kutafuta pesa
Hakuna mtu asiyejua kutafuta pesa ila siyo watu wote ni wakabaji au matapeli ili wapate pesa zaidi
 
aisee mimi ni mkibosho, huu uzi ni kweli kabisa. Dada zetu ni watu wa maslahi sana...kila kitu ni pesa inaangaliwa kwanza.

Tabia ya kutaka kumtawala mume hutokana na familia nyingi moshi kuwa ni wajane na kuwa na baba ambaye hana mamlaka tena kwa sababu ya uchumi mbaya, hivyo dada zetu hupata makuzi ya kiutu uzima kutoka kwa mama ambao ni independent.

Kutokana na hiyo spirit ya kupenda hela sana, wanajikuta ni wepesi kuliwa na wanaume wenye hela. Ukitaka kuamini jaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…