Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Watu hujifunza kutokana na makosa, hongera Mkuu kuweza kumove on.

Manake nasikia hata shemeji yetu aliyekuwa anakupiga matukio anatokea mojawapo wa maeneo hayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si wote jamani wengine hatupo hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu wimbo ni pendwaa kwangu,
Nilikua nauimba mwanzo mwsho. Mweeeeh
 
Na Mimi niliyepanga kwenda huko Arusha kuopoa pisi Sasa mnanishauri vipi?
Arusha ina mchanganyiko wa watu wengi.
Makabila mbali mbali yapo.

Na pia suala la uchoyo, umimi ni la mtu binafsi. Kesi za wakurya, ina maana watu hawajawahi kutana na mkurya mpole?
Si ile Tz imesha generalized mambo, basi inabaki kuwa hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu, uwiiiiih
 
Una stress sana kwanza ulileta thread watu wasioe wachaga leo umekuja kugeneralise pote kinachofuata utasema watu wasioe wanawake tanzania

Kila sehemu watu wazuri na wabaya, Mental health ni tatizo kamwone daktari kabla hali haijawa mbaya
 
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Kwa kilio hiki kuna nyundo imemtwanga mtu.

Ila mada zenye kuwaonya wanaume kuhusu hao watu zimejaa hapa jamvini tele...kuendelea kuwazungumzia ni kuwapa promo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…